Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Acha ujinga wewe waogope kutumbuliwa kwa kufanya matengenezo?Huo mgao utatokana na matengenezo kwenye mitambo ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa(maana wangehitajika kukata umeme kwa dharura ili kufanya matengenezo jambo ambalo kipindi kile lingewaletea matatizo)......
Huu ndio muda muafaka wa kufanya matengenezo lasivyo hata huo umeme wa mgao tunaweza kuukosa.
Huo ndio ukweli mchungu..Acha ujinga wewe waogope kutumbuliwa kwa kufanya matengenezo?
Matengenezo yataisha lini maana ni kitambo kimepita.Huo ndio ukweli mchungu..
..Magu alishasema hakutakua na mgao wa umeme,ina maana mkizima umeme ili kufanya matengenezo lazima mtumbuliwe.
Matatizo ya kutuletea ka-mtu kanakowaza misheni tuuuu! Mawaziri pumba hawa hatufiki kokote! Endeleeni kufurahia lipstick./Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
Tenesco wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?.
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Hakuna wototo ambayo unaweza kuwandanganya kirahisi humu.Huo ndio ukweli mchungu..
..Magu alishasema hakutakua na mgao wa umeme,ina maana mkizima umeme ili kufanya matengenezo lazima mtumbuliwe.
Hata huko Burundi tulikoelekezwa tuna nauli?January hawezi ondoka hiyo wizara labda sisi ndio tuhamie burundi kama mwigulu alivyosuggest.
Kwahiyo turudi kwenye magenerator.January hawezi ondoka hiyo wizara labda sisi ndio tuhamie burundi kama mwigulu alivyosuggest.
Kweli kabisa, haya mambo ya kufanya matengenezo ni janja janja tu, Haiwezekani eti mitambo imetumika miaka mitano, haijawahi fanyiwa matengenezo.Matatizo ya kutuletea ka-mtu kanakowaza misheni tuuuu! Mawaziri pumba hawa hatufiki kokote! Endeleeni kufurahia lipstick./
Wanatafuta loophole ya kupiga hella, hamna cha matengenezo.Matengenezo yataisha lini maana ni kitambo kimepita.
Yakiisha pia tujuzwe Kuwa yameisha.
Huo mgao utatokana na matengenezo kwenye mitambo ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa(maana wangehitajika kukata umeme kwa dharura ili kufanya matengenezo jambo ambalo kipindi kile lingewaletea matatizo)......
Huu ndio muda muafaka wa kufanya matengenezo lasivyo hata huo umeme wa mgao tunaweza kuukosa.