January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

Kabisa. Naona hii sekta inamshinda . Sio siri.
Kila siku sababu badala ya kuja na suluhisho au njia mpya ya kutibu tatizo
Mbona kipindi cha JPM haya mambo hayakuwepo na kulikuwa hakuna majina.
Waliweza nn kipindi hicho ambacho sasa wamekushindwa
Wameongeza gharama sehemu tofauti katika huduma zao tukajua huduma itaboreshwa lakin ndo huduma inakuwa mbaya zaidi .
KWELI tutafika TANZANIA YA VIWANDA baada ya miaka 5
 
Maguuu alijua kudanganya wapumbav.
Eti wakati wa magu kulikua hakuna mgao wa umeme!!! Ovyo kabisa nyie. Wakati mm mpaka nilikua jioni napitia hoteli flani nachaji simu kabisaa ndio nirud home coz vinginevyo usiku mzima umeme hamna' asubuhi cm zinakuwa no charge' mishe zinagoma.
Kwa Magu mgao ulikuwepo km kawa ila vyombo vya habari vilipigwa pini na raia waliogopa kusema
Sasa waziri wako mwenyewe Makamba alisema "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.

So zamani kulikuwa hamna mgao.
 
Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.

TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?

Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.

Kila utawala una toto tundu siyo???
 
Stiglers gorge was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie
Ukinambia white elephant nakataa sababu capacity ya bwawa hilo unalifahamu na sio bwawa pekee linalojengwa sasa kwa Afrika, hata ethiopia wanafanya hivyo sababu umeme wa maji ni wa bei nafuu na sio hatarishi kwa mazingira pale kwenye gesi mkataba uliosainiwa ni wa kinyonyaji sana ,tungekuwa na sheria ya sasa ya madini angalau ingetumifaisha waTZ ila kwa ile sheria ya kale , afu unakuta mtu kasaini miaka 99 unataraji nini?? hapo mpaka aanze kulipia angalau kidogo ni baada ya miaka 10 ya uzalishaji
 
Unajenga electric dam kwa kuwa Ethiopia wanajenga?? Jenga kwa uhitaji wako tu.
 
Maguuu alijua kudanganya wapumbav.
Eti wakati wa magu kulikua hakuna mgao wa umeme!!! Ovyo kabisa nyie. Wakati mm mpaka nilikua jioni napitia hoteli flani nachaji simu kabisaa ndio nirud home coz vinginevyo usiku mzima umeme hamna' asubuhi cm zinakuwa no charge' mishe zinagoma.
Kwa Magu mgao ulikuwepo km kawa ila vyombo vya habari vilipigwa pini na raia waliogopa kusema
Endelea kumuunga mkono huyo bibi yako na huyo mwizi wa mitihani! Tatizo sio kuwa umeme alikuwa unakatika hapa tunalinganisha tatizo limezidi sana kipindi hiki! Ila kwa vile wewe ni chawa taahira unatetea kila ujinga!
 
Hii sekta imekuwa ngumu sana kwa huyu ndugu yetu wa mitandaoni...
 
Mheshimiwa DASM,
mie niliishi KORODWE miaka 3 wakati wa JPM. sikuwahi ku experience kukatika KWA UMEME.
Kwahiyo una amini yeye ndio alikua umeme? Lile bomba la gas lili jengwa wakati wa Mh Kikwete tr zaidi ya moja na matumizi yake ni chini ya 10%, na nimeona hiyo taarifa ya
Yaani ww Raia una maakili mpaka yanamwagika.
Be blessed sana kwa ufahamu huo.
Tumekuelewa.👌👌👌
nilimsikia muheshimia raisi kasema ilo bwawa la Nyerere limesha lipiwa kila kitu wanacho dai ni kazi.
Ila sasa umeme wa maji unategemea sana kudra za Mwenyezi Mungu, umeme wa uhakika ni gas na nuclear au solar. Sasa mmejenga bomba la gas kwa zaidi ya trillion moja alafu tuna litumia less than 10% hiyo ni akili au matope?
Russia ina sambaza gas ulaya nzima
 
Back
Top Bottom