Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
atakuwa ana mahaba kwenye chama, hembu achana nae.Hili ndiyo swali ambalo jamaa amekataa kujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakuwa ana mahaba kwenye chama, hembu achana nae.Hili ndiyo swali ambalo jamaa amekataa kujibu.
Sasa waziri wako mwenyewe Makamba alisema "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.Maguuu alijua kudanganya wapumbav.
Eti wakati wa magu kulikua hakuna mgao wa umeme!!! Ovyo kabisa nyie. Wakati mm mpaka nilikua jioni napitia hoteli flani nachaji simu kabisaa ndio nirud home coz vinginevyo usiku mzima umeme hamna' asubuhi cm zinakuwa no charge' mishe zinagoma.
Kwa Magu mgao ulikuwepo km kawa ila vyombo vya habari vilipigwa pini na raia waliogopa kusema
Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Ukinambia white elephant nakataa sababu capacity ya bwawa hilo unalifahamu na sio bwawa pekee linalojengwa sasa kwa Afrika, hata ethiopia wanafanya hivyo sababu umeme wa maji ni wa bei nafuu na sio hatarishi kwa mazingira pale kwenye gesi mkataba uliosainiwa ni wa kinyonyaji sana ,tungekuwa na sheria ya sasa ya madini angalau ingetumifaisha waTZ ila kwa ile sheria ya kale , afu unakuta mtu kasaini miaka 99 unataraji nini?? hapo mpaka aanze kulipia angalau kidogo ni baada ya miaka 10 ya uzalishajiStiglers gorge was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie
Unajenga electric dam kwa kuwa Ethiopia wanajenga?? Jenga kwa uhitaji wako tu.Ukinambia white elephant nakataa sababu capacity ya bwawa hilo unalifahamu na sio bwawa pekee linalojengwa sasa kwa Afrika, hata ethiopia wanafanya hivyo sababu umeme wa maji ni wa bei nafuu na sio hatarishi kwa mazingira pale kwenye gesi mkataba uliosainiwa ni wa kinyonyaji sana ,tungekuwa na sheria ya sasa ya madini angalau ingetumifaisha waTZ ila kwa ile sheria ya kale , afu unakuta mtu kasaini miaka 99 unataraji nini?? hapo mpaka aanze kulipia angalau kidogo ni baada ya miaka 10 ya uzalishaji
Endelea kumuunga mkono huyo bibi yako na huyo mwizi wa mitihani! Tatizo sio kuwa umeme alikuwa unakatika hapa tunalinganisha tatizo limezidi sana kipindi hiki! Ila kwa vile wewe ni chawa taahira unatetea kila ujinga!Maguuu alijua kudanganya wapumbav.
Eti wakati wa magu kulikua hakuna mgao wa umeme!!! Ovyo kabisa nyie. Wakati mm mpaka nilikua jioni napitia hoteli flani nachaji simu kabisaa ndio nirud home coz vinginevyo usiku mzima umeme hamna' asubuhi cm zinakuwa no charge' mishe zinagoma.
Kwa Magu mgao ulikuwepo km kawa ila vyombo vya habari vilipigwa pini na raia waliogopa kusema
Kwa hiyo Tanzania hana huitaji wa umeme, anamuiga Ethiopia kujenga bwawa?Unajenga electric dam kwa kuwa Ethiopia wanajenga?? Jenga kwa uhitaji wako tu.
KWA HIYO NI GALASAHuyu hafai kabisa kuwa kiongozi
Hajawahi mzidi makonda kwa kupendwa ila sasa yuko wapi? cocochanel
Kwahiyo una amini yeye ndio alikua umeme? Lile bomba la gas lili jengwa wakati wa Mh Kikwete tr zaidi ya moja na matumizi yake ni chini ya 10%, na nimeona hiyo taarifa yaMheshimiwa DASM,
mie niliishi KORODWE miaka 3 wakati wa JPM. sikuwahi ku experience kukatika KWA UMEME.
nilimsikia muheshimia raisi kasema ilo bwawa la Nyerere limesha lipiwa kila kitu wanacho dai ni kazi.Yaani ww Raia una maakili mpaka yanamwagika.
Be blessed sana kwa ufahamu huo.
Tumekuelewa.👌👌👌
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Hata huko Burundi tulikoelekezwa tuna nauli?