Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
Kundi ni kubwa na huyo ni mmoja waoEconomic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kundi ni kubwa na huyo ni mmoja waoEconomic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
Nasikia waislamu siku hizi wanaomba eti viwanja vikigawiwa basi watenge vya waislamu na wa Kristo. Ila ni ajabu sana.Kundi ni kubwa na huyo ni mmoja wao
Yeap! Utumwa wa dini umemponza Zitto. Yeye sasa hivi kila kitu ni saafi! Hata ubongo umeshindwa kugeuka. Hili nililiona wakati wa Magu, akipinga kila kitu. Samia ameingia, anasifia kila kitu! Where on earth mtu bora wa kusifiwa kila kitu!Economic hitman wapo kazini. Nashangaa Zitto yupo kimya huku nchi inapokwa na wezi na mabeberu au kwa sababu ni waislamu wenzake wanaoongoza?????
Vinu vinge lipukaNdugu, yaani miaka mitano mitambo itumike bila matengenezo yeyote?
Nadhani kwa hii maintenance ni sawa, sema Mh. Makamba alikosea sana kuingia wizarani na gia ya kusema eti Kalemani alikuwa mtu mbaya (ndiyo Kalemani hakuwa na mahusiano mazuri na watu yaani naweza sema ni ibilisi fulani aliyeamini ktk Dkt Magufuli peke yake na wengine kuwaona kenge), ila kazi alifanya vizuri sana hasa kwa usimamizi wa taasisi
Hapana! Hamieni BURUNDIKwahiyo turudi kwenye magenerator.
Mnaanza kufichuliana maovu, kalemani aliona wenzie kenge?Nadhani kwa hii maintenance ni sawa, sema Mh. Makamba alikosea sana kuingia wizarani na gia ya kusema eti Kalemani alikuwa mtu mbaya (ndiyo Kalemani hakuwa na mahusiano mazuri na watu yaani naweza sema ni ibilisi fulani aliyeamini ktk Dkt Magufuli peke yake na wengine kuwaona kenge), ila kazi alifanya vizuri sana hasa kwa usimamizi wa taasisi
Hapana, JPM RIP alisema hivyo akimaanisha kuwa tanesco watumie akili kubuni mbiu za kuhakikisha umeme haukatiki kipumbavu.Huo ndio ukweli mchungu..
..Magu alishasema hakutakua na mgao wa umeme,ina maana mkizima umeme ili kufanya matengenezo lazima mtumbuliwe.
Ndiyo, mbona hilo linajulikana na watu wengi mkuu. Yaani Kalemani alikuwa anaona wenzake mbwa, paka, kunguru etc. Ila kazi alifanya vizuri bila ubinaadamu. Dkt Magufuli alikuwa mkali ila alikuwa muungwana sana tena sana yaani kama alivyowahi sema Mh. rais Samia, uvunguni mwa Dkt Magufuli alikuwa mtu wa huruma sana na moyo wa upendo. Kalemani hata jimboni kwake nasikia hapendwi, alishawahi tapeli vijana wa jimboni kwake akawaambia waende GGM kawatafutia kazi, vijana wakaenda hola akawatelekeza, kwa ufupi hafai kuwa kiongozi, kiongozi ni yule anayechangamana na watu si mtu anayefanya kazi kwa maringo huku akiwaona wenzie dog. Alikuwa na urafiki na wenye hela au wanaomzidi cheoMnaanza kufichuliana maovu, kalemani aliona wenzie kenge?
Ok, ila kwa hao vijana alifanya poa maana kazi ya mbunge sio kutafutia watu kaziNdiyo, mbona hilo linajulikana na watu wengi mkuu. Yaani Kalemani alikuwa anaona wenzake mbwa, paka, kunguru etc. Ila kazi alifanya vizuri bila ubinaadamu. Dkt Magufuli alikuwa mkali ila alikuwa muungwana sana tena sana yaani kama alivyowahi sema Mh. rais Samia, uvunguni mwa Dkt Magufuli alikuwa mtu wa huruma sana na moyo wa upendo. Kalemani hata jimboni kwake nasikia hapendwi, alishawahi tapeli vijana wa jimboni kwake akawaambia waende GGM kawatafutia kazi, vijana wakaenda hola akawatelekeza, kwa ufupi hafai kuwa kiongozi, kiongozi ni yule anayechangamana na watu si mtu anayefanya kazi kwa maringo huku akiwaona wenzie dog. Alikuwa na urafiki na wenye hela au wanaomzidi cheo
Ni mtu wa hovyo tangu kuzaliwa. Ni tatizo la veting tu. Nasikia mke wake wa kwanza alimtelekeza hadi kufa kwa kukosa huduma kwa kuwa tu yeye aliposoma akamuona mkewe ni chini ya kiwango. Ni mtu bwege tu!Nadhani kwa hii maintenance ni sawa, sema Mh. Makamba alikosea sana kuingia wizarani na gia ya kusema eti Kalemani alikuwa mtu mbaya (ndiyo Kalemani hakuwa na mahusiano mazuri na watu yaani naweza sema ni ibilisi fulani aliyeamini ktk Dkt Magufuli peke yake na wengine kuwaona kenge), ila kazi alifanya vizuri sana hasa kwa usimamizi wa taasisi
Kwa ufupi Kelamani ana asili ya uongo uongo yaani ni liongo liongo na dharau. Ni nyoka, yaani anakuwa anajifanya kukuheshimu kama una kitu ambacho atafaidika. Kuwadanganya wapiga kura wako na wakasafiri mpaka sehemu husika siyo poaOk, ila kwa hao vijana alifanya poa maana kazi ya mbunge sio kutafutia watu kazi
Hata watoto wake hana msaada kabisa, ni mtu ambaye hata watoto wake wa kuwazaa hata kusema basi awape mchongo wa haki hakuna, ni mtu fulani mjivuni. Hilo la mke wake ndiyo nalisikia, basi hizo ni laanaNi mtu wa hovyo tangu kuzaliwa. Ni tatizo la veting tu. Nasikia mke wake wa kwanza alimtelekeza hadi kufa kwa kukosa huduma kwa kuwa tu yeye aliposoma akamuona mkewe ni chini ya kiwango. Ni mtu bwege tu!
Ndio maana nilianza kukuambia mjinga kabla sijajibu hojayako.
Ivi nani aliekuambia gas haiishi.
Hiyo gas licha yakuwa inapandisha garama za umeme kadiri mwenye nayo atakavyo pandisha bei, lakini pia inamwisho.
Ukiambiwa gas ipo nyingisana unaamini?.
Hao wanao kuambia ni nyingi kiasihicho sindio hao wanao ichimba na kutuuzia!,au na sisi tuna detection gear zetu zakupima utafitiwao.
Kwamfano wakikuambia gas ipo ya kuchimba miaka mia moja, alafu wakakuambia wata chimba miaka 30 bure kurudisha garamazao siutaona nisawa sababu unamiaka 70 ya kupata faida ya mgao?.
Tumia akilizako vizuri,kama hujui michezo ya hiyo nishati bora ukaekimya ama endelea kudanganya wajinga wasio elewa.
Sijui kwanini hujiulizi mikataba imekuwa siri na hupitishwa kwa dharula.
Note kwenye ubonhowako kwamba gas inaisha pia tena fasta tu, ndio maana unaona utafiti unaendelea kila mahali duniani.
Tangu uzaliwe unasikia majiyapo na yataendelea kuwepo.
Uwepo wa maji niwa milele inategemea tu na utunzaji wetu wa mazingira, gas yenyewe utunze mazingira usitunze ukiipata inaisha tu.
Magu alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi za kuona mbali, we mtukane unavyo weza lakini uborawake utaonekana kadiri muda unavyo kwenda.
Hii nchi kwakweli, basi tu.Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Unajiona GT kwa kufanya biased analysis.nikuulize unajua gas tunaweza chimba kwa miaka mingapi? Na utuambie chanzo cha taarifa yako? Ili tuone taarifa unazoziamini huwa zinatoka wapi ili tuzipime na taarifa za usiyempenda ambazo unasitiza ni uongo.pili unajua miti mingapi kwa mwaka inateketezwa kwa ajili ya mkaa? Unajua vyanzo vingapi vya mvua?Stiglers gorge was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie
Hili lifanye wewe na ulilete hapa. Nikikileta Mimi utasema niko biased. Do it pleaseUnajiona GT kwa kufanya biased analysis.nikuulize unajua gas tunaweza chimba kwa miaka mingapi? Na utuambie chanzo cha taarifa yako? Ili tuone taarifa unazoziamini huwa zinatoka wapi ili tuzipime na taarifa za usiyempenda ambazo unasitiza ni uongo.pili unajua miti mingapi kwa mwaka inateketezwa kwa ajili ya mkaa? Unajua vyanzo vingapi vya mvua?
Mbona Serikali ina mrabaha kwenye hiyo Gesi kupitia TPDC? Kwa nini mnakuwa waongo hamsemi na mnadai 100% ni ya wawekezaji?
Unataka mikataba iwe wazi ? Kwani TPDC hawajui contents? Wakijua wao ndiyo inatosha kwa kuwa ndiyo wenye dhamana ya kuwasimamia Watanzania kwenye sekta hii.
Unasema Gesi Ina mwisho, sawa jna mwisho ila kama itatupa nishati ya umeme kwa kipindi reasonable, tuende nayo tu. Why not
Nayo maji so kweli kwamba hayana madhara kwenye mazingira. Angalia Three Star Dam ya China na ile ya Venezuela namna zinavyosumbua mazingira.
Nimeandika bila matusi kama wewe