Ukiona mtu anaanza kwa matusi badala ya hoja tambua umemshinda uelewa. Siwezi kukujibu kwa kuwa Mithali 26:4 imetutahadharisha
Tayari 60% ya umeme tunaotumia ni WA gesi kupitia Kinyerezi 1 & 2 alizokamikisha JK mwaka 2015. Bado misukule ya Mwendazake inafanya comparison ya umeme wa gesi dhidi ya maji??
Haihitaji kuwa hata na Degree ya chuo kikuu kujuwa kuwa kama Mwendazake angemalizia Kinyerezi 3 & 4 Hali ya umeme nchini ingekuwaje kufika sasa.
Ndio maana nilianza kukuambia mjinga kabla sijajibu hojayako.
Ivi nani aliekuambia gas haiishi.
Hiyo gas licha yakuwa inapandisha garama za umeme kadiri mwenye nayo atakavyo pandisha bei, lakini pia inamwisho.
Ukiambiwa gas ipo nyingisana unaamini?.
Hao wanao kuambia ni nyingi kiasihicho sindio hao wanao ichimba na kutuuzia!,au na sisi tuna detection gear zetu zakupima utafitiwao.
Kwamfano wakikuambia gas ipo ya kuchimba miaka mia moja, alafu wakakuambia wata chimba miaka 30 bure kurudisha garamazao siutaona nisawa sababu unamiaka 70 ya kupata faida ya mgao?.
Tumia akilizako vizuri,kama hujui michezo ya hiyo nishati bora ukaekimya ama endelea kudanganya wajinga wasio elewa.
Sijui kwanini hujiulizi mikataba imekuwa siri na hupitishwa kwa dharula.
Note kwenye ubonhowako kwamba gas inaisha pia tena fasta tu, ndio maana unaona utafiti unaendelea kila mahali duniani.
Tangu uzaliwe unasikia majiyapo na yataendelea kuwepo.
Uwepo wa maji niwa milele inategemea tu na utunzaji wetu wa mazingira, gas yenyewe utunze mazingira usitunze ukiipata inaisha tu.
Magu alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi za kuona mbali, we mtukane unavyo weza lakini uborawake utaonekana kadiri muda unavyo kwenda.