January Makamba usirudi nyuma una hazina kubwa ndani yako

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
 
Hivi makamba kafanya nini> alikuwa na scandal gani?
 
Makamba aliyechota billion 20 pale atnesco na akina maharage.Mambi ya nje nado akasema hata kama mama hatumukubari basi ndo Rais wetu.Nani alimwambia wtanxania hatumkubali. Hivi makamba mmemusahau wakati wa magufuri alivyowadukua na kuwaweka hadharani harafu unaona hao watu wako sawa
 
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
Makaba?
 
Nyie ndo mmemfanya atumbuliwe, ana hazina gani au ana kipi kipya?
 
Nimeamini Makamba ni mtu mwenye chawa wengi sana. Ukisema anafaa kwa Urais tuambiye na vitu alivyofanya kwa Watanzania. Nchi hii kweli kuwa rais ni easy sana.
 
Acha kumpotosha January.

Atulie tu!
All in All tufocus kwenye kupata Katiba Bora zaidi ya kupigania watu kuwa Marais.
Nchi hii inakwama kutokana na Katiba iliyopo kujenga miungu watu na sio mifumo imara
 
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
Wewe ni POPOMA KABISA, hajitambui
 
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
Hikii kisa kinafanana na Nyerere vs Oscar kambona
 
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
Akwende zake mwizi tu huyo jamaa hata ubunge hakustahili

Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.

That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.

You deserve to be PRESIDENT

At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.

Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana

Bora uwazidi PESA na mali .
Kiongozi bora na smart ana sifa kuu mbili. 75% ya wana ccm hawana akiwemo nape, mwigulu na makamba.

Wote ni wezi.

Kama wanaielewa kwa wanahitaji 20,000 kwa kila mtz ili waweze kuendesha nchi (kodi). Na wanapata. Lkn kazi ya hizo sh 15,000 wanajipendea kwa ajili ya kujilipa, na kulipa watumishi kiasi kidogo cha mishahara.

Kiongozi smart anapaswa awe na sifa kuu 2.

1. Uadilifu
2. Wema kwa maana ya social responsibility
 
Back
Top Bottom