January vipi huko kwenu?

Nakuahidi huto skia neno shida mpaka utapochoka mrembo too cute bein living here tz com on pretty nko serious njoo pm
We Bwana hata address yako huijui huko uliko utanipoteza bure wacha nikae zangu bongo pananitosha.
 
Hapa umeongea vizuri Sana,yaani kila mtu anadai huu mwezi mgumu sana utasema December alikuwa na afadhali... anyways tutaendelea kujifunza kwa ajili ya kujiandaa vema kupambana na January Kama ulivyofanya wewe
 
January- mwanangu si unajua January inakuaga ngum kinoma
Feb - mwanangu si unajua tumetoka Mwezi January mambo bad mabaya knoma
March- mwanangu dah Niko vibaya harakat hazijakaa poa kabisa
Apr - si unajua Tena kulikua na sherehe sherehe hapa kat hela zote nimemalizia huko
May - Dah bro acha tu biashara imekua mbaya sana Kodi ni nying kila sehem tumebanwa
June - Ndugu yang watt wamefunga shule sahiv wote wameenda kijijin likizo pesa zote zimeishia kwenye safari yaaani.
July- Bro si unajua shule zimefunguliwa?

Muendelezo ni huohuo lakin kiukweli ni kuwa miezi yote hatunaga pesa tunatafuta sababu
 
Uzee Ni baraka,usijaliπŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa huko anga za mbali vipi January Yao inakuaje?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Agust:ndugu yangu si unajua nimelipia Ada term ya pili...UMETISHA
 
Umemaliza, miezi yote ni taabu tupu kwa wanyonge wa hapa bongolala...........tusisingizie january.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Agust:ndugu yangu si unajua nimelipia Ada term ya pili...UMETISHA
Alaf ikifika Oct unasema "Mwanangu daah We acha tu"
 
Alaf ikifika Oct unasema "Mwanangu daah We acha tu"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapo Ni mperampera mpaka December.....Ila January ndio anaonewa,anateswa jamani
 
Uchumi wa bongolala ndo upo ICU, acha kabisa kusingizia january wakati ni hali ya mwaka mzima.
Nyamizi punguza kukashifu kwenu kuna wajomba na Babu zako huku!utakosa radhi kuwaita ancestors wako bongolala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…