January vipi huko kwenu?

January vipi huko kwenu?

Nakuahidi huto skia neno shida mpaka utapochoka mrembo too cute bein living here tz com on pretty nko serious njoo pm
We Bwana hata address yako huijui huko uliko utanipoteza bure wacha nikae zangu bongo pananitosha.
 
Wenyewe wanakwambia jumanne siku ya jini labda Kaka Mshana Jr anajua siri
Ngoja nimalize huku nitarejea
Screenshot_20220127-130028.jpg
 
Hapa umeongea vizuri Sana,yaani kila mtu anadai huu mwezi mgumu sana utasema December alikuwa na afadhali... anyways tutaendelea kujifunza kwa ajili ya kujiandaa vema kupambana na January Kama ulivyofanya wewe
Sijui ni kwanin baadhi ya watu wamekuwa na malalamiko kuhusu mwezi January

Kwangu mim January naona ni mwezi wa kawaida kama miez mingine tuu na hii ni kwa sababu ya namna mtu unavyo pangilia mipango yako, unavyo pangilia mzunguko wa pesa yako na matumiz pia, ukiweza kufanya hayo yoote huwez kuulalamikia mwez January

Pia vijana tufanye kaz na tuache kufata mkumbo wa kulalamikia mwez January, unakuta mtu hana kaz anayofanya hajichanganyi huku na huku kutafuta kipato kazi ni kuiga tuu mwez mgumu mwez mgumu
Tufanye kaz haya yote yatakuwa historia
 
January- mwanangu si unajua January inakuaga ngum kinoma
Feb - mwanangu si unajua tumetoka Mwezi January mambo bad mabaya knoma
March- mwanangu dah Niko vibaya harakat hazijakaa poa kabisa
Apr - si unajua Tena kulikua na sherehe sherehe hapa kat hela zote nimemalizia huko
May - Dah bro acha tu biashara imekua mbaya sana Kodi ni nying kila sehem tumebanwa
June - Ndugu yang watt wamefunga shule sahiv wote wameenda kijijin likizo pesa zote zimeishia kwenye safari yaaani.
July- Bro si unajua shule zimefunguliwa?

Muendelezo ni huohuo lakin kiukweli ni kuwa miezi yote hatunaga pesa tunatafuta sababu
 
Mi umeniacha hoi kwenye miaka yako Dah 53[emoji39][emoji39][emoji12] nilikuwa na lengo fulani hivi sasa naona ndoto yangu haitatimia [emoji24][emoji24]

Kuhusu januari kiukweli toka nije tz kutokea anga za mbali sijawahi kuona mtanzania akisema leo afathari nina kibunda kama wapo hao si watanzania ila kaja muda mrefu hapa nchin[emoji56][emoji56]
Uzee Ni baraka,usijali😂😂

Sasa huko anga za mbali vipi January Yao inakuaje?
 
January- mwanangu si unajua January inakuaga ngum kinoma
Feb - mwanangu si unajua tumetoka Mwezi January mambo bad mabaya knoma
March- mwanangu dah Niko vibaya harakat hazijakaa poa kabisa
Apr - si unajua Tena kulikua na sherehe sherehe hapa kat hela zote nimemalizia huko
May - Dah bro acha tu biashara imekua mbaya sana Kodi ni nying kila sehem tumebanwa
June - Ndugu yang watt wamefunga shule sahiv wote wameenda kijijin likizo pesa zote zimeishia kwenye safari yaaani.
July- Bro si unajua shule zimefunguliwa?

Muendelezo ni huohuo lakin kiukweli ni kuwa miezi yote hatunaga pesa tunatafuta sababu
😂😂😂😂😂😂Agust:ndugu yangu si unajua nimelipia Ada term ya pili...UMETISHA
 
January- mwanangu si unajua January inakuaga ngum kinoma
Feb - mwanangu si unajua tumetoka Mwezi January mambo bad mabaya knoma
March- mwanangu dah Niko vibaya harakat hazijakaa poa kabisa
Apr - si unajua Tena kulikua na sherehe sherehe hapa kat hela zote nimemalizia huko
May - Dah bro acha tu biashara imekua mbaya sana Kodi ni nying kila sehem tumebanwa
June - Ndugu yang watt wamefunga shule sahiv wote wameenda kijijin likizo pesa zote zimeishia kwenye safari yaaani.
July- Bro si unajua shule zimefunguliwa?

Muendelezo ni huohuo lakin kiukweli ni kuwa miezi yote hatunaga pesa tunatafuta sababu
Umemaliza, miezi yote ni taabu tupu kwa wanyonge wa hapa bongolala...........tusisingizie january.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Agust:ndugu yangu si unajua nimelipia Ada term ya pili...UMETISHA
Alaf ikifika Oct unasema "Mwanangu daah We acha tu"
 
Uchumi wa bongolala ndo upo ICU, acha kabisa kusingizia january wakati ni hali ya mwaka mzima.
Nyamizi punguza kukashifu kwenu kuna wajomba na Babu zako huku!utakosa radhi kuwaita ancestors wako bongolala
 
Back
Top Bottom