January vipi huko kwenu?

Nyamizi punguza kukashifu kwenu kuna wajomba na Babu zako huku!utakosa radhi kuwaita ancestors wako bongolala
Mbona huku majuu bata ni daily mwaka mzima........tatizo ni nini hapo bongo nyoso.
 
January hii inabidi nipunguze gia nayotembelea nirudi gia ndogo nitembe na lite(serenget, castle) mpaka bajeti isomwe.
 
Mbona huku majuu bata ni daily mwaka mzima........tatizo ni nini hapo bongo nyoso.
Ila wewe Nia yako ututoe nje ya mjadala,,Basi sawa,hivi Ni kweli mnakula Bata kweli huko au mnasave save tu migahawani?sema ukweli wako leo 🤔
 
Ila wewe Nia yako ututoe nje ya mjadala,,Basi sawa,hivi Ni kweli mnakula Bata kweli huko au mnasave save tu migahawani?sema ukweli wako leo 🤔
Ni full mziki, saving za kutosha na bata kama kawa.....
 
Uzee Ni baraka,usijali[emoji23][emoji23]

Sasa huko anga za mbali vipi January Yao inakuaje?
Kwamba hiyo baraka mambo kwangu yatakuwa kitongaaa [emoji23][emoji23] Mungu anipe nn jamani nilikuwa wapi mimi sikuzot hz [emoji39][emoji39]

Huko nimetoka muda hadi nimesahau januari wanaipitiaje ngoja nifanye nao kwanza mawasiliano ila nakumbuka ili kuwa party after party
 
Ukiwa na bajeti nzuri, sioni ugumu wa January, ukiharibu bajeti hakuna rangi usiyoona. Kidogo ulicho nchi unakipanga vizuri. Ukiona sherehe haina umuhimu piga chini ili ufanye kitu muhimu.
 
After party,after party....😂Sasa unapambana na January za Tanzania
 
Sawa kabisa...sio unaendaenda tu,kipaimara safe umoo,beseni la mtoto sijui umooo,tunamtoa mwali umoo khaaaa January lazima ikunogeee
Ukiwa na bajeti nzuri, sioni ugumu wa January, ukiharibu bajeti hakuna rangi usiyoona. Kidogo ulicho nchi unakipanga vizuri. Ukiona sherehe haina umuhimu piga chini ili ufanye kitu muhimu.
 
Subiri ukibaki mjane utaujua ugumu wa January. Kwa sasa anayeujua ugumu wa January ni huyo aliyekuweka kwake!
 
Kulia umeishiwa hela huo ni ufwala [emoji2960]
 
Mmmh mbona Matola yeye kasema December ndio matajiri wanaenda kula Bata?Mimi nilikuwa najua Kama wewe everyday is Xmas kwa vibopa
Kwa mwenye hela kila siku sherehe. Kinachotokea ni kuwa wengi huwa tu wanaamua kwenda vacation hicho kipindi kwasababu.

1. Watoto wanakuwa likizo.
2. Family member wengi wanakuwa likizo makazini
 
Kalipe ada acha porojo
 
Hakika, miezi yote swa tu, haina ugumu wowote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…