Mbona huku majuu bata ni daily mwaka mzima........tatizo ni nini hapo bongo nyoso.Nyamizi punguza kukashifu kwenu kuna wajomba na Babu zako huku!utakosa radhi kuwaita ancestors wako bongolala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huku majuu bata ni daily mwaka mzima........tatizo ni nini hapo bongo nyoso.Nyamizi punguza kukashifu kwenu kuna wajomba na Babu zako huku!utakosa radhi kuwaita ancestors wako bongolala
Ni full mziki, saving za kutosha na bata kama kawa.....Ila wewe Nia yako ututoe nje ya mjadala,,Basi sawa,hivi Ni kweli mnakula Bata kweli huko au mnasave save tu migahawani?sema ukweli wako leo 🤔
Kwamba hiyo baraka mambo kwangu yatakuwa kitongaaa [emoji23][emoji23] Mungu anipe nn jamani nilikuwa wapi mimi sikuzot hz [emoji39][emoji39]Uzee Ni baraka,usijali[emoji23][emoji23]
Sasa huko anga za mbali vipi January Yao inakuaje?
After party,after party....😂Sasa unapambana na January za TanzaniaKwamba hiyo baraka mambo kwangu yatakuwa kitongaaa [emoji23][emoji23] Mungu anipe nn jamani nilikuwa wapi mimi sikuzot hz [emoji39][emoji39]
Huko nimetoka muda hadi nimesahau januari wanaipitiaje ngoja nifanye nao kwanza mawasiliano ila nakumbuka ili kuwa party after party
Ukiwa na bajeti nzuri, sioni ugumu wa January, ukiharibu bajeti hakuna rangi usiyoona. Kidogo ulicho nchi unakipanga vizuri. Ukiona sherehe haina umuhimu piga chini ili ufanye kitu muhimu.
Subiri ukibaki mjane utaujua ugumu wa January. Kwa sasa anayeujua ugumu wa January ni huyo aliyekuweka kwake!Nina miaka 53 na ushee.
Kwa maana hii Watanzania wengi uchumi wetu tunategemea wazungu ambao December kimsingi wanaenda kula Xmass🤔🤔🤔🤔🤔
Nafahamu ndio Maisha ya watanzania Ni kuungaunga mbona mwezi wa Saba wakilipa Ada hawalalamiki?au ndio kwa sababu matajiri wanakuwa hawajaenda huko holiday??Basi sawa nimekulewa Asante kwa mchango.
Huko mtaani kwenu ndio wapi pataje watu tupajue na sie
Kulia umeishiwa hela huo ni ufwala [emoji2960]Nina miaka 53 na ushee.
Kwa maana hii Watanzania wengi uchumi wetu tunategemea wazungu ambao December kimsingi wanaenda kula Xmass[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nafahamu ndio Maisha ya watanzania Ni kuungaunga mbona mwezi wa Saba wakilipa Ada hawalalamiki?au ndio kwa sababu matajiri wanakuwa hawajaenda huko holiday??Basi sawa nimekulewa Asante kwa mchango.
Huko mtaani kwenu ndio wapi pataje watu tupajue na sie
Kwa mwenye hela kila siku sherehe. Kinachotokea ni kuwa wengi huwa tu wanaamua kwenda vacation hicho kipindi kwasababu.Mmmh mbona Matola yeye kasema December ndio matajiri wanaenda kula Bata?Mimi nilikuwa najua Kama wewe everyday is Xmas kwa vibopa
Kalipe ada acha porojoWasalaam,
Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu
Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale mwezi mgumu Sana,kila jirani namsikia akilia wimbo huo huo sasa nikawa najiulizia hivi.
1. Kwanini January ionekane ni mwezi mgumu kuliko yote kisa tunalipa Ada za watoto, mbona shule ya mwanangu Mimi nalipa Ada karibu mwaka mzima kwa installment,au Kuna shule zinalipa pesa yote January?
Kuna mtu atasema ni kwa sababu December tumetoka holiday, kwa hili sioni kama kuna ukweli maana familia chache ndio zina utaratibu wa kwenda vacation December, na familia nyingi hazina huu utaratibu Sasa tuseme pilau za Xmas ndio zimeleta majanga? sio kweli.
2. Kuna baadhi yetu watoto wetu wanasoma public school hawalipi Ada, lakini wimbo wetu ni uleule January ngumu sana hii sasa ni kuuonea huu mwezi.
3. Hivi Nyie wenzetu mliwahi ishi nchi mbali mbali na huko nako January ni Kama huku? Au sie Tanzania January yetu imekuwa Kali Sana?
Basi nisiwachoshe wananchi,Ila tukipata muda tutafakari na tujipange na na tuwe na utaratibu kujiandaa mapema kukabiliana na huu mwezi.
Tuwe na utamaduni wa kufanya budget za Ada mapemaaaa maana suala la Ada sio suala la ghafla, hii itatusaidia kupunguza hivi vilio vya January na tutauona huu mwezi kama miezi mingine, maana tumeupa Kiki Sana.
Tuwe na siku njema.
Shida tunavimba mnooooKile kivibe Cha December kila mtu anajitia kachanganyikiwa[emoji23]