Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hamna sehem nimejikweza nimekuelezea uhalisia wamambo unavyoenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe ndiye mwenye akili acha KUJIKWEZA wewe!!!! Kumbuka mazingira ya biashara duniani hubadilika kutokana na sababu mbali mbali, hivyo waliona miaka hiyo ilikuwa sawa kwa makampuni yao kuinvest kule lakini kwa mazingira ya sasa wanaona ni bora watoe motisha kubwa ili yaondoke huko.
Kabisa MKUU kwahapa umesema ukweli mtupuu...Ushabiki, unafiki na kuficha ukweli ni cancer ya ubongo, cancer ya moyo na cancer ya mapafu respectively. Mtu wa namna hii hawezi kupona.
Kwahio kwasasa kipi hakuna soko ama cheap ?!Walifuata cheap labour na soko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzungu angekuwa na nia ya kutafuta tungekuwepo ulaya ? ulishawahi kujiuliza kwa nini hakuna mweusi uarabuni?
Hamna sehem nimejikweza nimekuelezea uhalisia wamambo unavyoenda
Kama mashirika yao yameshindwa kusoma miaka kumi mbeleni itakuaje wakafanya huo upuuzi
Wabakie kua wapole tu maana hakuna namna sasa...
Decision as ateam ndio haiwezi kufeli ?!KUJIKWEZA kutaka kuonyesha wewe unajua kuliko Serikali ya Japan ambayo ina watu mbali mbali waliobobea katika maswala hayo na wanafanya decisions as a TEAM.
Mazingira yamebadirika. China under dictator xi, has become authoritatively aggressive and repulsive of the free world economic policies .Kwahio kwasasa kipi hakuna soko ama cheap ?!
Obama alishawahi sema jukwaani kwenye kongamano la.biashara kwamba dunia ifanye ifanyeje lakini mwisho wa siku America atakua mshindi
Sawa ni bei nafuu kwa wap ambapo zinaenda uzwa? Hizo cheap price zinaingia america? Soko kubwa lake liko waap?-Silaha kubwa ya mchina kwenye bidhaa ni bei nafuu.
-Bidhaa nyingi za Marekani bei ni ghali sana.
-Unalizungumziaje hili?
Soko la Mchina ni Asia, Afrika, Amerika kusini,Ulaya mpaka Amerika kaskazini mchina anafanya biashara.Sawa ni bei nafuu kwa wap ambapo zinaenda uzwa? Hizo cheap price zinaingia america? Soko kubwa lake liko waap?
Soko la Mchina ni Asia, Afrika, Amerika kusini,Ulaya mpaka Amerika kaskazini mchina anafanya biashara.
Mkuu kipengele cha biashara Mchina tusimkadirie kitoto, Mchina katoboa mpaka Ulaya na ndio maana Marekani na baadhi ya washirika wake wanapata vigugumizi kwa baadhi ya maamuzi.Namsubir aje tena
Mkuu kipengele cha biashara Mchina tusimkadirie kitoto, Mchina katoboa mpaka Ulaya na ndio maana Marekani na baadhi ya washirika wake wanapata vigugumizi kwa baadhi ya maamuzi.
Habari yako Mkuu, naomba unieleze hili kwa mifano?Mazingira yamebadirika. China under dictator xi, has become authoritatively aggressive and repulsive of the free world economic policies .
Ukiona mtu anaanza kuvunja sheria au utaratibu ujue amezidiwa mbinu/mipango.Mm nimeshawambia hizo kelele zote marekani anafanya kwa sababu taari kuna dalili kubwa kuwa Uchina anakuja kuwa ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani kutokana na uwekezaji wake America, Africa, Ulaya na Asia alioufanya siku nyingi, kitu ambacho marekani kaja kushtukia amechelewa sana kumdhibiti, ndio maana sasaivi anatumia nguvu kubwa pamoja na ushawishi wake mwingi ukiangalia bidhaa za marekani hakuna anaezitaka coz ni ghali sana watu wanataka vya mchina rahisi na technology ya hali ya juu, kuna watu humu wanaleta nyuzi za figisu but ukweli mioyoni mwao wanaujua
hujanijibu swali langu MKUU ijapokua umetoa jibu kipi kimebadilika kwasasa kati ya vile ulovitaja ?!Mazingira yamebadirika. China under dictator xi, has become authoritatively aggressive and repulsive of the free world economic policies .
Hamna sehem nimejikweza nimekuekea uhalisia wamambo ulivyo kama unapingana nao pingana nao tu ila ukweli upo hvyo mzee.....Ila unachoandika wewe ndiyo kiko sawa
110% acha KUJIKWEZA wewe!!!
Kama atakujibu usisahau kunitag MKUU.....Habari yako Mkuu, naomba unieleze hili kwa mifano?
hamna mtu anahitaji bidhaa za mchina bana,ni umasikini wenu tu.Mm nimeshawambia hizo kelele zote marekani anafanya kwa sababu taari kuna dalili kubwa kuwa Uchina anakuja kuwa ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani kutokana na uwekezaji wake America, Africa, Ulaya na Asia alioufanya siku nyingi, kitu ambacho marekani kaja kushtukia amechelewa sana kumdhibiti, ndio maana sasaivi anatumia nguvu kubwa pamoja na ushawishi wake mwingi ukiangalia bidhaa za marekani hakuna anaezitaka coz ni ghali sana watu wanataka vya mchina rahisi na technology ya hali ya juu, kuna watu humu wanaleta nyuzi za figisu but ukweli mioyoni mwao wanaujua
mzungu anatoa misaada ya dawa za malaria,ukimwi,kifua kikuuu,uzazi wa mpango na mikopo ya maji,mifereji nk,,mchina ukisema naomba mkopo nikajenge reli ya kisasa anakupa,mf kenya,ethiopia nk,ukiomba mkopo wa kujenga bandari,kununua ndege,anakupa,yupi mzuri kwa kupiga hatua ya uchumi wa nchi,kati ya mchina na mzungu?Huwezi mlinganisha USA, na MCHINA, hata siku moja, mchina ni mnyonyaji hasa, na yeye kwake Demokrasia, ni msamiati, hata iweje huwezi sikia ana toa hata sauti kuwa kuna ukiukwaji wa Demokrasia, kwenye nchi husika, madam mambo yake yanakwenda vizuri!!! Wazungu wana unafuu sana!! Hiyo misaada gani ya ki ubinadamu anayotoa?? Bora mzungu kuliko, mchina na mrusi!!