Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe ndiye mwenye akili acha KUJIKWEZA wewe!!!! Kumbuka mazingira ya biashara duniani hubadilika kutokana na sababu mbali mbali, hivyo waliona miaka hiyo ilikuwa sawa kwa makampuni yao kuinvest kule lakini kwa mazingira ya sasa wanaona ni bora watoe motisha kubwa ili yaondoke huko.
Hamna sehem nimejikweza nimekuelezea uhalisia wamambo unavyoenda

Kama mashirika yao yameshindwa kusoma miaka kumi mbeleni itakuaje wakafanya huo upuuzi

Wabakie kua wapole tu maana hakuna namna sasa...
 
Mzungu angekuwa na nia ya kutafuta tungekuwepo ulaya ? ulishawahi kujiuliza kwa nini hakuna mweusi uarabuni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uarabuni yawapi ambapo hakuna mweusi acha kuongea PUMBA kijana
 
KUJIKWEZA kutaka kuonyesha wewe unajua kuliko Serikali ya Japan ambayo ina watu mbali mbali waliobobea katika maswala hayo na wanafanya decisions as a TEAM.

Hamna sehem nimejikweza nimekuelezea uhalisia wamambo unavyoenda

Kama mashirika yao yameshindwa kusoma miaka kumi mbeleni itakuaje wakafanya huo upuuzi

Wabakie kua wapole tu maana hakuna namna sasa...
 
KUJIKWEZA kutaka kuonyesha wewe unajua kuliko Serikali ya Japan ambayo ina watu mbali mbali waliobobea katika maswala hayo na wanafanya decisions as a TEAM.
Decision as ateam ndio haiwezi kufeli ?!

Mnakwama wapi vijana ?!

US wanaiandama UCHINA kwamashinikizo yakila rangi wakati mwanzo walikua wanafanya biashara kwamashauriano ya team ila kwasasa wanamuandama kama UCHINA mwizi

Usikwame sehem ndugu yang...
 
Obama alishawahi sema jukwaani kwenye kongamano la.biashara kwamba dunia ifanye ifanyeje lakini mwisho wa siku America atakua mshindi

Hiyo psychological war, kuna tawala nyingi zimepita kwenye hii Dunia kwa kishindo kikubwa na kustaajabisha, wako wapi sasa Mongol Empire, Ancient Greek, Roman empire, etc. Hayupo atakae tawala milele.
 
-Silaha kubwa ya mchina kwenye bidhaa ni bei nafuu.

-Bidhaa nyingi za Marekani bei ni ghali sana.

-Unalizungumziaje hili?
Sawa ni bei nafuu kwa wap ambapo zinaenda uzwa? Hizo cheap price zinaingia america? Soko kubwa lake liko waap?
 
Mm nimeshawambia hizo kelele zote marekani anafanya kwa sababu taari kuna dalili kubwa kuwa Uchina anakuja kuwa ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani kutokana na uwekezaji wake America, Africa, Ulaya na Asia alioufanya siku nyingi, kitu ambacho marekani kaja kushtukia amechelewa sana kumdhibiti, ndio maana sasaivi anatumia nguvu kubwa pamoja na ushawishi wake mwingi ukiangalia bidhaa za marekani hakuna anaezitaka coz ni ghali sana watu wanataka vya mchina rahisi na technology ya hali ya juu, kuna watu humu wanaleta nyuzi za figisu but ukweli mioyoni mwao wanaujua
Mkuu kipengele cha biashara Mchina tusimkadirie kitoto, Mchina katoboa mpaka Ulaya na ndio maana Marekani na baadhi ya washirika wake wanapata vigugumizi kwa baadhi ya maamuzi.
 
Mm nimeshawambia hizo kelele zote marekani anafanya kwa sababu taari kuna dalili kubwa kuwa Uchina anakuja kuwa ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani kutokana na uwekezaji wake America, Africa, Ulaya na Asia alioufanya siku nyingi, kitu ambacho marekani kaja kushtukia amechelewa sana kumdhibiti, ndio maana sasaivi anatumia nguvu kubwa pamoja na ushawishi wake mwingi ukiangalia bidhaa za marekani hakuna anaezitaka coz ni ghali sana watu wanataka vya mchina rahisi na technology ya hali ya juu, kuna watu humu wanaleta nyuzi za figisu but ukweli mioyoni mwao wanaujua
Ukiona mtu anaanza kuvunja sheria au utaratibu ujue amezidiwa mbinu/mipango.

Kwamfano: Mchezo wa bondia mtu akiaanza kurusha mateke na kuruka sarakasi ujue mchezo umemshinda(kazidiwa).

Zingatia: Paris climate accord, INF Treaty, ABM Treaty, JCPA, START, TPP, Open Skies Treaty etc.
 
Mazingira yamebadirika. China under dictator xi, has become authoritatively aggressive and repulsive of the free world economic policies .
hujanijibu swali langu MKUU ijapokua umetoa jibu kipi kimebadilika kwasasa kati ya vile ulovitaja ?!
 
Ila unachoandika wewe ndiyo kiko sawa
110% acha KUJIKWEZA wewe!!!
Hamna sehem nimejikweza nimekuekea uhalisia wamambo ulivyo kama unapingana nao pingana nao tu ila ukweli upo hvyo mzee.....
 
Mm nimeshawambia hizo kelele zote marekani anafanya kwa sababu taari kuna dalili kubwa kuwa Uchina anakuja kuwa ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani kutokana na uwekezaji wake America, Africa, Ulaya na Asia alioufanya siku nyingi, kitu ambacho marekani kaja kushtukia amechelewa sana kumdhibiti, ndio maana sasaivi anatumia nguvu kubwa pamoja na ushawishi wake mwingi ukiangalia bidhaa za marekani hakuna anaezitaka coz ni ghali sana watu wanataka vya mchina rahisi na technology ya hali ya juu, kuna watu humu wanaleta nyuzi za figisu but ukweli mioyoni mwao wanaujua
hamna mtu anahitaji bidhaa za mchina bana,ni umasikini wenu tu.

china anauza bidhaa zinazompa faida marekani kuliko anazouza nchi nyingine zozote ukijumlisha.unadhani huko anapeleka utopolo kama anaoleta huku africa???

usione marekani anachukua maamuzi haya ukadhani ni taahira,anajua kucheza vyema na hisia za mpenzi wake.cha msingi sisi dunia ya 3 huku tuweke akiba ya maneno tusiwe wasemaji kupita kiasi.
 
Huwezi mlinganisha USA, na MCHINA, hata siku moja, mchina ni mnyonyaji hasa, na yeye kwake Demokrasia, ni msamiati, hata iweje huwezi sikia ana toa hata sauti kuwa kuna ukiukwaji wa Demokrasia, kwenye nchi husika, madam mambo yake yanakwenda vizuri!!! Wazungu wana unafuu sana!! Hiyo misaada gani ya ki ubinadamu anayotoa?? Bora mzungu kuliko, mchina na mrusi!!
mzungu anatoa misaada ya dawa za malaria,ukimwi,kifua kikuuu,uzazi wa mpango na mikopo ya maji,mifereji nk,,mchina ukisema naomba mkopo nikajenge reli ya kisasa anakupa,mf kenya,ethiopia nk,ukiomba mkopo wa kujenga bandari,kununua ndege,anakupa,yupi mzuri kwa kupiga hatua ya uchumi wa nchi,kati ya mchina na mzungu?
 
Back
Top Bottom