Hili sio swala la kushabikia, hapo nyumbani kwako au kwenu, ikiwemo na hiyo simu unayotumia JF ni made in chinaUnachezea sharubu za Marekani wewe
Kweli dunia ipo salama kwaupande wako vipi kwaupande wa WALIBYA na WAIRAQ ?!Nimeshangaa hawa wadau wana praise mchina, Mzungu ni mpigaji ila ni mtu mwenye chembe za Huruma na Dunia ni salama kwa vile iko chini ya wazungu US sasa siku superpower akiwa mchina au Mrusi tutegemee dunia kutokuwa salama tena mana hao jamaa wao ni kujali mambo yao tu
hio miaka kumi ambao mtakua mna process mkumbuke mtakua munamfaidisha MCHINAIle ni process ambayo inaweza chukua hata miaka kumi sio kitu kinachofanyika abruptly na sio Vietnam Kuna india
Hizo kampuni zakinapan unazotaka kuzisemea wewe tufanye kuna TOKYO HITACHI LG na TOSHIBA ndio wagawane hizo pesa mbuzi zilizoekwa hapo kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Mtanzania wa kumtogole huwezi mbishia mjapani aliyesema atatoa million 500, Tanzania ndo nji pekee watu wanabishia watu na professional zao
apple, Nike, addidas, Samsung je hizo ni kampuni za kijapani, japani amesema ni kwa kampuni zake za kijapani tupende kujikita kwenye mada
Unajuaje kama hatakuja rais mwengne kama atakaeondoka ?!Philippines anaepush ni dutete, ambaye akiondoka akija rais mwingine atawarudia marekani, wa-philipines wengi hawasupport hiyo move kwa sababu diaspora wengi wapo marekani
Marekani hawez ondoka kienyeji enyeji sababu aliingia mikataba
KamaWizi wa technology na pia kuficha ukweli kuhusu COVID19. Kama makampuni makubwa ya Nchi za magharibi yatafuata nyayo Japan kuyapa ruzuku makampuni hayo yaondoke China basi kutakuwa na ongezeko kubwa la wasio na ajira kule China.
Kama ni Hilo hata mi naunga mkono hoja..
Migogoro ya mipaka ya UCHINA ilikuepo kabla UCHINA hajawa sawa KIUCHUMI kama alipo sasa je yalimuathiri vipi katika masuala yake ya KIUCHUMI ?!China ana mgogora wa mipaka na nchi 18 iweje Leo ghafla anaelewana nao ndo maana nikasema ni uongo
Wangeona inatosha wasingetoa optiona yaanaetaka wangetunga sheria ikawa nilazimaWao wameshafanya analysis wakaona zinatosha, lakin anatokea mkazi wa kwa mtogole anapinga
Mrusi alivunjwa kutokana na kuwekeza sana kwenye jeshi huku akitegemea uchumi wa nishati. Hakuwa ame diversify uchumi wake which means ukimuwekea tu figisu ukaharibu soko la mafuta na gesi nchi inaangukia tumbo. Ni tofauti na China ambae uchumi wake umepanuka. China humuangushi kiboya kwasababu uchumi wake hautegemei sekta moja au mbiliChina atajuta kumdindia Mmarekani.. Atavunjwa vunjwa kama Mrusi.. In ten years, there is no China!
Unachoongea hakiko proved na historia. Usalama wa dunia uliingia matatizoni kipindi Germany ni super power na leo dunia haina amani kwa kuwa USA ni super power. Hakuna nchi imeshambuliwa na kuwa destabilized na China toka kuundwa kwa taifa hilo 1949. Kinachotokea kwa majirani ni migogoro ya kawaida tu ambayo hata sisi tunayo na Malawi. Next time hizi propaganda zako ziwe zinaishia kwenye kumbi za video unakozitoa hapa ni kwa waelewaSeriously yani kuna mtu mwenye sane kabisa anamtetea mchina?
Kumchekea China ni kuvuna mabua.
China awape Bioweapon ipi ili muamini kua China ni dangerous?
Subirini akiwa superpower aanze ku dump bioweapons nchini mwenu tuone kama kuna mtu atapinga.
Marekani ni democratic Republic anainterveve penye uonevu.
China ni communist!
Communist na ukandamizaji ni ndugu.
Kumbe we shida yako hapa ni kuelezea yupi ni mkoloni bora kuliko mwingine. Ila Africa tuna laana sio bureNimeshangaa hawa wadau wana praise mchina, Mzungu ni mpigaji ila ni mtu mwenye chembe za Huruma na Dunia ni salama kwa vile iko chini ya wazungu US sasa siku superpower akiwa mchina au Mrusi tutegemee dunia kutokuwa salama tena mana hao jamaa wao ni kujali mambo yao tu
Heee! Bibi yangu asinge vaa nguo? Labda tuanzie hapa kwanza una umri gani? Miaka yote hiyo mitumba ilikuwa inatoka china? Biashara tungefanyia wapi, kabla ya huyo china, biashara ilikuwa inafanyika wapi, tatizo lako inaonekana labda ni wa miaka ya karibuni ndio maana unaona china ni kila kitu?!! USA, ndio nyampala wa dunia, ndio maana kukiwa na shida yoyote duniani utasikia watu wana mlilia aingilie kati, huo ndio ukweli.lini umesikia nchi za ulaya na USA, wametaka kuchukua mali za nchi yoyote kisa madeni? Mchina yeye ni miaka hii ya karibuni tu ndio amejiingiza barani afrika, lakini nchi nyingi cha moto wameshaanza kukiona!! Nimefanya kazi na wachina nasema mala mia mzungu.Huyo mzungu ana ubora gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?! Bora huyo mchina maisha yamekua rahisi mpaka bibi yako huko kijijini anavaa nguo if not for China Africa biashara mngefanyia wp mngezitoa wp?! .... huyo America demokrasia inakuja kwa nchi asizozitaka... nchi anazozipenda hata wakandamizwe Vipi hatii mdomo.. bora mchina kuliko huyo muanzisha vurugu duniani kwa maslai yake
Sahau .....tofauti ya China na Russia n uchumi ...Russia ilijikita kutengeneza silaha KUPAMBANA na USA wakat China imejikita KWENYE uchumi ambao umeinua na jeshi lao Tena.....saa iz USA kichwa kinamuuma kashawavuruga umoja wa ulaya hawana hamu....na marekan ameshakwama Hana Cha kufanya mbinu zote zimegonga mwamba... Amebaki kuhema na kuyoyoma
Kati ya wewe na wajapan Nani anaakiliWangeona inatosha wasingetoa optiona yaanaetaka wangetunga sheria ikawa nilazima
Heee! Bibi yangu asinge vaa nguo? Labda tuanzie hapa kwanza una umri gani? Miaka yote hiyo mitumba ilikuwa inatoka china? Biashara tungefanyia wapi, kabla ya huyo china, biashara ilikuwa inafanyika wapi, tatizo lako inaonekana labda ni wa miaka ya karibuni ndio maana unaona china ni kila kitu?!! USA, ndio nyampala wa dunia, ndio maana kukiwa na shida yoyote duniani utasikia watu wana mlilia aingilie kati, huo ndio ukweli.lini umesikia nchi za ulaya na USA, wametaka kuchukua mali za nchi yoyote kisa madeni? Mchina yeye ni miaka hii ya karibuni tu ndio amejiingiza barani afrika, lakini nchi nyingi cha moto wameshaanza kukiona!! Nimefanya kazi na wachina nasema mala mia mzungu.
Marekani anawaza mbali sana mkuu wale wana strategies za kumnasa samaki kwenye ndiwano kiulaini sana.
China kwa sasa anachoangalia ni Take technology by anyhow and use it, okay! no problem ataiba technolgy na atakuwa na uwezo wa hatari mfano mdogo tu ni Huawei yy sasa hivi ndiye mwenye uwezo hali ya juu sana kutoa 5G hatukatai lakini baba kumbuka kuna kitu kinaitwa mahusiano na mahusiano ndio hujenga soko, hivi kama una shamba kubwa una technlogia ya kulima halafu ukalima wateja wajayakataa hayo mazao ni sawa na workdone=0.
Nikukumbushe anachomfanya Mmarekani ni kitu kimoja Iba technology, zalisha sana lakini kosa soko, hahaha uchumi utaporomoka within seconds. Sawa china ana soko la ndani lakini ukumbuke exports za china to the word is the one highest contributor to her economy! Na ndizo zinazowapa financial power hao wanachin wake wawe na nguvu ya kununua lakini ukumbuke Mmarekani anachomfanyia china ni longrun effect, jiulize na uangalie kwa takwimu ni chi zipi mnunuzi wa bidhaa za china zaidi nitakuletea list hapa kama ushahidi lakini kwa haraka haraka wanunuzi wa china ni America, Europe, India, Brazil, Australia, Japan, Mexico , Canada n. k
Anachofanya Mmarekani anajenga ngome inayoitwa kataa bidhaa za China ambayo haiwezi take place for just two years or three but from 6 to 10 years ambapo mchina baadae atashangaa hee mbona bidhaa zangu hazitoki? Akistuka labda atumie nuclear kutisha nchi nyingine zinunue bidhaa zakke la sivyo kwishne!!!
Halafu lingine Mataifa yote yenye makampuni huko china yanashawishiwa na Mmarekani yaondoe Makampuni hayo kutoka china kwa gharama yoyote na Japan kaanza kutenga budget ili kupunguza ajira za china na ili kupunguza financial power ya soko la ndani la china na lingine yaondoe hayo makampuni ili mataifa hayo yatakapo anza kuzuia bidhaa za china wasije wakajikuta wanazuia bidhaa za makampuni yao wenyewe. Mmarekani anaona mbali sana kaka[emoji28][emoji28][emoji28]. Mchina ajiandae kwa kipondo. Wanarekani wana akili za dunia nzima kwa sababu wanaoishi America ni Chinese-American, Africa American Indian Americans, Taiwanese Americans or Asian Americans, Europe Americans n.k ogopa watu wa race mbalimbali wakikaa pamoja kutoa maoni ni hatari zaidi[emoji112][emoji112][emoji112] siku njema
China's economic recovery depends on the rest of the world
Kama mmeingia mikataba inayiruhusu mali zichukuliwe kwanini ziachwe ?!Heee! Bibi yangu asinge vaa nguo? Labda tuanzie hapa kwanza una umri gani? Miaka yote hiyo mitumba ilikuwa inatoka china? Biashara tungefanyia wapi, kabla ya huyo china, biashara ilikuwa inafanyika wapi, tatizo lako inaonekana labda ni wa miaka ya karibuni ndio maana unaona china ni kila kitu?!! USA, ndio nyampala wa dunia, ndio maana kukiwa na shida yoyote duniani utasikia watu wana mlilia aingilie kati, huo ndio ukweli.lini umesikia nchi za ulaya na USA, wametaka kuchukua mali za nchi yoyote kisa madeni? Mchina yeye ni miaka hii ya karibuni tu ndio amejiingiza barani afrika, lakini nchi nyingi cha moto wameshaanza kukiona!! Nimefanya kazi na wachina nasema mala mia mzungu.
Umeongea point yeye anafikiri vitu vinafanyika abruptly madhara yake yataonekana hata Boris Johnson alisema ni muda wa kupunguza utegemezi wa chinaMarekani anawaza mbali sana mkuu wale wana strategies za kumnasa samaki kwenye ndiwano kiulaini sana.