Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wewe ndiye mwenye akili acha KUJIKWEZA wewe!!!! Kumbuka mazingira ya biashara duniani hubadilika kutokana na sababu mbali mbali, hivyo waliona miaka hiyo ilikuwa sawa kwa makampuni yao kuinvest kule lakini kwa mazingira ya sasa wanaona ni bora watoe motisha kubwa ili yaondoke huko.

 
Kwanini wahame
 
Walifuata cheap labour na soko.
 
kuwafuta waAfrika kashindwa mzungu.................huyo mchina hataweza
 
kuwafuta waAfrika kashindwa mzungu.................huyo mchina hataweza
Mzungu angekuwa na nia ya kutafuta tungekuwepo ulaya ? ulishawahi kujiuliza kwa nini hakuna mweusi uarabuni?
 
Kila eneo lina aina yake ya Democracy............hio democracy ya Mmarekani kuna sehemu nayo inafeli
hakuna democracy china , nimekaa nao na nafanya kazi nao, story zao zinasikitisha,
kiufupi maisha yap yametawaliwa na ukandamizwaji mkubwa wa haki za binadamu,

Democracy ya USA hata kama ina mapengo , but it works , hata wewe najua unatamani kuishi silicon valley
 
Huoni Kama US alianzisha HIV AIDS ili auze hayo ma ARV acha double standard mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hamu ya kuishi huko labda kutembea na kurudi mimi ninapapenda hapahapa kwenye asili yangu
 
China ana ugomvi wa mipaka karibu na nchi zote alizopakana nazo including Russia, India, Vietnam, taiwani, Japan, Philippines, malysia, na indonesia

Nakubaliana na wewe kwa nchi zifuatazo India, Malysia na Indonesia hizo zingine hapana.

Kumbuka Taiwani sio nchi.
 
Mkuu naomba mifano kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…