Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

😂😂😂😂😂 ila wewe ndiye mwenye akili acha KUJIKWEZA wewe!!!! Kumbuka mazingira ya biashara duniani hubadilika kutokana na sababu mbali mbali, hivyo waliona miaka hiyo ilikuwa sawa kwa makampuni yao kuinvest kule lakini kwa mazingira ya sasa wanaona ni bora watoe motisha kubwa ili yaondoke huko.

Nilitaka nikuonyeshe tu kama hata wao pia kuna muda wanakua hawana akili nandio maana wanafanya maamuzi yakipumbavu kama hayo waliyoyafanya yakupeleka makampuni yao huko UCHINA kwenda kuwatajirisha wenzao

Sio kosa wanalolifanya ila walikua hawana akili nandio maana wakawanufaisha WACHINA kwamikono yao

Halafu sasa hv unawaona wana akili...
 
Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China.

Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na serikali imetenga ruzuku ya Dollar Million 536 kuanza kuyapila.

Jumla Japan imetenga zaidi ya Dollar Billion 2.5 kama ruzuku ya kuyashawishi makampuni yake yaliyoko China yahame na kuhamia Nchi nyingine nje ya China.

===

Japan has earmarked ¥243.5 billion of its record economic support package to help manufacturers shift production out of China as the coronavirus pandemic disrupts supply chains between the major trading partners.

The extra budget, compiled to offset the devastating effects of the pandemic, includes ¥220 billion for companies shifting production back to Japan and ¥23.5 billion for those seeking to move production to other countries, according to details posted online.

The move coincides with what should have been a celebration of friendlier ties between the two countries. Chinese President Xi Jinping was supposed to make a state visit to Japan this month, but the summit, which would have been the first of its kind in a decade, was postponed a month ago as the virus began to spread through Japan. No new date has been set.

China is Japan’s biggest trading partner under normal circumstances, but Chinese imports sank by nearly half in February as the contagion shuttered its all-important factories, starving Japanese manufacturers of parts.

That has renewed talk of reducing Japan’s reliance on China as a manufacturing base. The government’s panel on future investment last month discussed the idea of shifting manufacturing of high-added-value products back to Japan, and for production of other goods to be spread across Southeast Asia.

“There will be something of a shift,” said Shinichi Seki, an economist at the Japan Research Institute. Seki said some Japanese manufacturers in China that were focused on exports were already considering moving out.

“Having this in the budget will definitely provide an impetus.” Companies, such as car makers, that are manufacturing for the Chinese domestic market, will likely stay put, he said.

Japan exports a far larger share of parts and partially finished goods to China than other major industrial nations, according to data compiled for the panel. A February survey by Tokyo Shoko Research Ltd. found 37 percent of the more than 2,600 firms that responded were diversifying procurement to places other than China amid the health crisis.

It remains to be seen how the policy will affect Prime Minister Shinzo Abe’s years-long effort to restore relations with China.

“We are doing our best to resume economic development,” Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian said at a briefing Wednesday in Beijing when he was asked about the move. “In this process, we hope other countries will act like China and take proper measures to ensure the world economy will be impacted as little as possible and to ensure that supply chains are impacted as little as possible.”

The initial stages of the COVID-19 outbreak in China appeared to warm the often chilly ties between the two countries. Japan provided aid in the form of masks and protective gear — and in one case a shipment was accompanied by a fragment of ancient Chinese poetry. In return, it received praise from Beijing.

In another step welcomed in Japan, China declared Avigan, an anti-viral drug produced by Fujifilm Holdings Corp., to be an effective treatment for the coronavirus, even though it has yet to be approved for that use by the Japanese.

Yet many in Japan are inclined to blame China for mishandling the early stages of the outbreak and Abe for not blocking visitors from all of China sooner. Until last month, only visitors from Hubei, the epicenter of the outbreak, and one other province had been banned.

In the meantime, other issues that have deeply divided the neighbors — including the Senkaku Islands dispute in the East China Sea that brought them close to a military clash between 2012 and 2013 — are no nearer resolution.

Chinese government ships have continued to patrol around the Japanese-administered islands regularly throughout the crisis, with Japan saying four Chinese ships on Wednesday entered what it claims to be its territorial waters.


Japan sets aside ¥243.5 billion to help firms shift production out of China | The Japan Times

Bloomberg - Are you a robot?
Kwanini wahame
 
Nilitaka nikuonyeshe tu kama hata wao pia kuna muda wanakua hawana akili nandio maana wanafanya maamuzi yakipumbavu kama hayo waliyoyafanya yakupeleka makampuni yao huko UCHINA kwenda kuwatajirisha wenzao

Sio kosa wanalolifanya ila walikua hawana akili nandio maana wakawanufaisha WACHINA kwamikono yao

Halafu sasa hv unawaona wana akili...
Walifuata cheap labour na soko.
 
mchina hana land huko kwao , na hafi populations growth wamedhibiti ili kuepuka msongamano
anaitaka Africa kama land na resources zake ,but anaitaka ikiwa haina watu wake , lengo ni kufanya productions kama unayosema na pia reproductions kwa sababu huku ardhi sio ishu
Alijaribu hii idea Australia kwa kununua lands na kuwekeza heavily, Aussies wako smart wakaanza kuwashtukia ,ndo naona wamehamishia nguvu bara letu la giza. zipo documentaries kadhaa zinaelezea uwekezaji huo wa mchina australia
kuwafuta waAfrika kashindwa mzungu.................huyo mchina hataweza
 
kuwafuta waAfrika kashindwa mzungu.................huyo mchina hataweza
Mzungu angekuwa na nia ya kutafuta tungekuwepo ulaya ? ulishawahi kujiuliza kwa nini hakuna mweusi uarabuni?
 
Kila eneo lina aina yake ya Democracy............hio democracy ya Mmarekani kuna sehemu nayo inafeli
hakuna democracy china , nimekaa nao na nafanya kazi nao, story zao zinasikitisha,
kiufupi maisha yap yametawaliwa na ukandamizwaji mkubwa wa haki za binadamu,

Democracy ya USA hata kama ina mapengo , but it works , hata wewe najua unatamani kuishi silicon valley
 
Ujamaa wa china haujaniathiri chochote , ujamaa wa hapa kwetu ndo umeniathiri, haya yanayotokea hapa kwetu kwa sasa ndo matunda halisi ya kukumbatia ujamaa,
kwenye ujamaa kuna kundi linanufaika kwa kutumia maelekezo tu na kundi kinakuwa watumwa kimya kimya

Ubepari ni mbaya kwa maneno ya kijamaa tu ila the system works na inazalisha hadi surplus , ndo sababu Arv na dawa za Tb zinatoka USA na sio China.
Huoni Kama US alianzisha HIV AIDS ili auze hayo ma ARV acha double standard mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna democracy china , nimekaa nao na nafanya kazi nao, story zao zinasikitisha,
kiufupi maisha yap yametawaliwa na ukandamizwaji mkubwa wa haki za binadamu,

Democracy ya USA hata kama ina mapengo , but it works , hata wewe najua unatamani kuishi silicon valley
Sina hamu ya kuishi huko labda kutembea na kurudi mimi ninapapenda hapahapa kwenye asili yangu
 
China ana ugomvi wa mipaka karibu na nchi zote alizopakana nazo including Russia, India, Vietnam, taiwani, Japan, Philippines, malysia, na indonesia

Nakubaliana na wewe kwa nchi zifuatazo India, Malysia na Indonesia hizo zingine hapana.

Kumbuka Taiwani sio nchi.
 
Nimeshangaa hawa wadau wana praise mchina, Mzungu ni mpigaji ila ni mtu mwenye chembe za Huruma na Dunia ni salama kwa vile iko chini ya wazungu US sasa siku superpower akiwa mchina au Mrusi tutegemee dunia kutokuwa salama tena mana hao jamaa wao ni kujali mambo yao tu
Mkuu naomba mifano kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom