๐—๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ

๐—๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
JAPAN KIBOKO AISEEE ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต

1_20250401_173859_0000.png


Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu ๐Ÿ™‚wanajifanya wanakaza mafuvu.

Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la Ardhi.

2_20250401_173859_0001.png


Teknolojia hiyo itaweza kufanya kazi kupitia mifumo ya Airbag system inayoendeshwa na vitambuzi vya masuala ya Tetemeko Ardhini itaweza kuelea hewani na kuepukana na madhara ya kuhalibiwa.

3_20250401_173859_0002.png


Kampuni kama vile Air Danshin zitaweza kurusha nyumba hewani na kuzirudisha Ardhini kwa haraka baada ya sekunde chache Tetemeko la Ardhi kutokes lengo ni kupunguza athari zinazotokana na Majanga ya Asilia.

4_20250401_173859_0003.png


Katika masuala ya majanga ya asili, Japan inathibitisha kwamba uvumbuzi unaweza kupingana na gravity (mvuto).

Unasemaje kuhusu Teknolojia hii ikiletwa Tanzania tukaweza kuzuia Majanga ya Asilia haswa Mafuriko kwa watu wa mabondeni??

Credit to: #bongotech255
 
Back
Top Bottom