Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.

Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa kulikuwa na udhaifu mkubwa ndani ya Jeshi la Polisi juu ya kupanga ulinzi katika eneo ambalo Abe alishambuliwa

Ingawa Nakamura hajasema ni lini ataondoka ofisini kwake, taarifa za awali zinasema ombi la kujiuzulu kwake linatarajiwa kuidhinishwa katika mkutano wa Baraza la Mawaziri Agosti 26,2022.

================================

Japan’s national police chief on Thursday said he will resign to take responsibility over the fatal shooting of former Japanese Prime Minister Shinzo Abe at a campaign speech last month.

National Police Agency Chief Itaru Nakamura’s announcement came as his agency released a report on how it failed to save Abe’s life on July 8 when he was assassinated in Nara in western Japan.

The police report found holes in Abe’s police protection that allowed the alleged attacker to shoot him from behind.

Nakamura did not say when his resignation would be official.

The alleged gunman, Tetsuya Yamagami, was arrested at the scene and is currently under mental evaluation until late November. Yamagami told police that he targeted Abe because of the former leader’s link to the Unification Church, which he hated.

Abe’s family paid tribute to him in a private ritual Buddhist ritual Thursday marking the 49th day of his assassination.

ABCNEWS
 
Hii ndio responsibility inayotakiwa nasi tujifunze na tuwe nayo, ningekua na uwezo ningefukuza uongozi wote wa timu yetu ya netball, maana tumekua whipping girls, hata Eswatini inajipigia ,ni aibu tu
 
Itaru Nakamura anasema atajiuzulu kutokana na kupigwa risasi kwa waziri mkuu wa zamani mwezi uliopita huku kukiwa na wasiwasi kuhusu kushindwa kwa usalama.

================

Japan’s police chief to resign over Shinzo Abe assassination.

Itaru Nakamura says he will sJapan’s national police chief says he will resign to take responsibility for the fatal shooting of former Prime Minister Shinzo Abe last month, citing the need for a “fresh start” for the organisation.

Itaru Nakamura’s announcement on Thursday came as his agency released a report blaming flaws in police protection – from planning to guarding at the scene – that led to Abe’s assassination at a campaign speech on July 8, in Nara, western Japan.

#Aljazira.
 
..inanikumbusha Igp Sirro na Rpc Muroto walivyokuwa wakimfokea na kumkejeli Tundu Lissu.

..mbunge anashambuliwa na kunusurika kuuwawa ktk eneo wanamoishi viongozi wa serikali halafu jeshi la polisi hawawajibiki na badala yake wanamkejeli aliyeumizwa.
 
Back
Top Bottom