Japan ni magari pekee?

Hakuna kitu cha ki teknolojia wasichotengeneza tatizo ni sisi soko letu halihimili bidhaa zao kutokana na ubora na bei kuwa juu,mfano unaweza kutafuta mtu aliyenunua gari ya kijapani 0-km usimkute kabisa kwenye eneo unaloishi.
 
Japan zamani alikuwa electronics ila hilo taji kalipoteza si tu kwetu na kwingine. Mchina kamnyanganya taji la electronics. Ila bado anamataji ya kuunda materials zinazotumika kutengeneza fabs za kuunda processors
Anavyo na vingi anafanya undersupervion nchi nyingine ikiwemo China mfano Sony,Panasonic,akai,aiwa,matsui...bado bidhaa zake zipo duniani hasa huko first world countries.
 
Anavyo na vingi anafanya undersupervion nchi nyingine ikiwemo China mfano Sony,Panasonic,akai,aiwa,matsui...bado bidhaa zake zipo duniani hasa huko first world countries.
Hayo mataji yote china taratibu anayamvua. Sony wamebaki zaidi wanakimbiza kwenye camera na kutengeneza camera sensors.
Kampuni za mkorea zilimyanyanya mataji na sasa hivi mchina naye anakuja kuwanyanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…