Hakuna kitu cha ki teknolojia wasichotengeneza tatizo ni sisi soko letu halihimili bidhaa zao kutokana na ubora na bei kuwa juu,mfano unaweza kutafuta mtu aliyenunua gari ya kijapani 0-km usimkute kabisa kwenye eneo unaloishi.Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?