Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unaifahamu brand ya SONY?Mbona kama "hazivumi" nchini? Huoni kila kona imekamatwa na Mchina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaifahamu brand ya SONY?Mbona kama "hazivumi" nchini? Huoni kila kona imekamatwa na Mchina?
sijawahi icheki kabisa, zipo nyingi😅Leo Levelling Solo inarushwa hewan
Mchina ni mjanja sana. Anajua waafrika wanapenda vitu vya bei rahisi hata kama havina ubora . Ndio maana kateka soko la afrika. Mjapan kashindwa kutengeneza vitu vya bei rahisi kwa kuwa anajali mno ubora.Nafikiri bidhaa nyingi za Mjapan ni bora kuliko za Mchina, lakini Mchina kaliteka kwa sehemu kubwa soko la Tanzania.
Ndiyo, hasa miaka ya nyuma! Tulikuwa tukitaka kununua REDIO, chaguo la kwanza ni SONY. Sijui kwa sasa, lakini walikuwa na REDIO, TV, sijui na friji? Sikumbuki. Lakini kwa sasa ni kama vile "hawasikiki"Unaifahamu brand ya SONY?
🤣🤣🤣Unahitaji kuwa na akili TIMAMU kutumia bidhaa za mjapani na mzungu,....ndo maana tumekomaa na mchina....
CamerasNdiyo, hasa miaka ya nyuma! Tulikuwa tukitaka kununua REDIO, chaguo la kwanza ni SONY. Sijui kwa sasa, lakini walikuwa na REDIO, TV, sijui na friji? Sikumbuki. Lakini kwa sasa ni kama vile "hawasikiki"
Mbona kama "hazivumi" nchini? Huoni kila kona imekamatwa na Mchina?
Kwa wanaozingatia Quality products....we go to Japan, kwa wanaopenda Broilers Mchina amejaza tele mtaani mpaka barabarani kwa bei yako tuKwa sasa hali ikoje? Naona kama vile ukiacha magari, bidhaa zingine karibia zote Mchina ndiye anayelilisha soko la Tanzania.
Wabongo tunataka TV inch 85 kwa laki 8.Nafikiri bidhaa nyingi za Mjapan ni bora kuliko za Mchina, lakini Mchina kaliteka kwa sehemu kubwa soko la Tanzania.
Hali imebadilika sanaMbona kama "hazivumi" nchini? Huoni kila kona imekamatwa na Mchina?
Icheki season one two wanaachia leosijawahi icheki kabisa, zipo nyingi😅
Hamuwezi ku afford bidhaa za Japan(mpya). Hata magari ni kwasababu mnanunua ya miaka 20 iliopita vinginevyo ni serikali tu na watu wachache. ingeweza kununua. Bidhaa mnaxoweza kumudu ni low class kutoka China na ndio zimejaa Kariakoo.Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
Aisee!Bidhaa nyingi haziji sababu sio afodable katika mazingira yetu, Bongo kila kitu cha kichana, Lakini Japan kuna kila kitu mkuu
Japan zamani alikuwa electronics ila hilo taji kalipoteza si tu kwetu na kwingine. Mchina kamnyanganya taji la electronics. Ila bado anamataji ya kuunda materials zinazotumika kutengeneza fabs za kuunda processorsJapan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
Vikoje mkuu? Kama siyo sumu mbona vinalika tu? Na haviwezi kuwa sumu kwa sababu nao ni binadamu kama sisi.Umewahi jaribu vyakula vya kijapan? Waache walete magari na electronics tu. Maana siku wakileta vyakula vyao ..
Mkuu si kwa sababu tunapenda vitu bei rahisi. Watu huwa mnadhani mchina anauza sana afrika ila sio kweli. Mauzo ya mchina afrika hayafika hata 5% ya mauzo yake ya duniani kote.Mchina ni mjanja sana. Anajua waafrika wanapenda vitu vya bei rahisi hata kama havina ubora . Ndio maana kateka soko la afrika. Mjapan kashindwa kutengeneza vitu vya bei rahisi kwa kuwa anajali mno ubora.