Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
- Thread starter
- #41
Thanks for the link Kafrican...and yeeeees!..I wanted this, the LINK.
Excuse me,need to chew right through it.
Excuse me,need to chew right through it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha....ng'ombe ya kawaida weweOpen your threads rather than spewing "uharo" kwa za wengine.....wewe mwenyewe katafute hiyo citation, nonesense!
RAIS MAGUFULI NA TANZANIA TUNAHITAJI MRADI WA AINA HII HATA KWA KUKOPA MAMILIONI NJE KWANI / KWA NJIA KAMA ZA DAR-MOSHI- ARUSHA.MRADI UTALIPA MARA MOJA. I M SURE BY 100%.
Kwangu mimi sioni tija ya mradi kama huo kwa Tanzania hivi sasa, unahitaji miji iliyo na kipato cha juu sana ili ikupe sababu ya kujenga reli kama hiyo. Halafu teknolojia zina badilika sana, zamini ulihitaji kusafiri kwenda moja kwa moja kwa mteja, siku hizi mnaweza kufanya mkutano wa kuonana na mteja kwenye mtandaoni. Utaalamu wa kiini macho (virtual reality) umepanuka sana, unaweza kuona uhalisia wa kitu chochote kikiwa mbali na hata hakija tengenezwa. Kwa teknolojia kama hizo, inaweza kusaidia kupunguza safari yako ambayo ungeifanya ili kujionea mwenyewe kitu au chombo kilicho kamilika. Nchi nyingi zina sita kujenga aina hii ya reli au trani kutokana na kushindwa kupata sababu inayo kidhi haja ya mwendo kasi kama huo, badala yake, wanajenga train zinazo kimbia mwendo wa kati.RAIS MAGUFULI NA TANZANIA TUNAHITAJI MRADI WA AINA HII HATA KWA KUKOPA MAMILIONI NJE KWANI / KWA NJIA KAMA ZA DAR-MOSHI- ARUSHA.MRADI UTALIPA MARA MOJA. I M SURE BY 100%.
hahaha....ng'ombe ya kawaida wewe
little boy....you got major brain fartsMwana!....umeingia humu ukaanza kubwabwaja mwenyewe kulikoni?....ama ushabugia viroba vyako vipi weye?......kalb wahed!
Jamani ,I didnt tag you my friend!...jiheshimu.
the tz porridge heads are already here!!!!!!! karibuni jamani mtakufa msipotoa stress na anything kenyan!!!!
Tim Choice, I truly believe one day you'll come here telling us .......there is a hole in Kenya, which can take you to the center of the earth. Or something similar to that.
Any country can have a bullet train, the issues is justification of having one. Some places were they have those trains companies are making loses. It doesn't mean that will stop any country or counties (because those kind of projects you need more than one country to cut cost and to make those trains meaningful). Look at Euro Star a UK France project. Or a TGV a French and others European project. But without a justification or cost sufficient this will remain as a pie in the sky.You are free to imagine my friend!..after all isn't it possible for Kenya or any African nation to acquire a bullet train some day?....or do you think its never gonna happen on this earth?
Any country can have a bullet train, the issues is justification of having one. Some places were they have those trains companies are making loses. It doesn't mean that will stop any country or counties (because those kind of projects you need more than one country to cut cost and to make those trains meaningful). Look at Euro Star a UK France project. Or a TGV a French and others European project. But without a justification or cost sufficient this will remain as a pie in the sky.
Mkuu kumbe na wewe unamjua? Hapa JF kuna timu ya hawa viumbe wa ajabu!! Wana kero balaa,asilimia 90 ya Ban zote zinazotolewa hapa huwa zinasababishwa na viumbe hivi! Majina yao ni Barbarosa Lizaboni Mwasita Moja Ndumbayeye. Hao ndiyo viongozi wa hako ka kikundi ka ajabuMzee wa nongwa huwa hukawii kurusha cheche. Haya kaa mkao wa kujionea yakitendeka.
Vipi naskia Dar leo umeme umekatika kutwa yote. Majenereta yanarindima mjini harufu ya petroli.
That's the beauty of owning the language, unaweza kuikoroga unavyo taka. French are very reluctant to borrow English words into French language wanajitahidi sana kuweka maneno yao.sometimes napenda kusoma post za watz i get new swahili vocubulary.ati center of gravity ni uegemeo kati na sasa nimesoma kiini macho(virtual reality)
That's the beauty of owning the language, unaweza kuikoroga unavyo taka. French are very reluctant to borrow English words into French language wanajitahidi sana kuweka maneno yao.