Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huku kwetu Simba wana kazi ya kung'oa viti kila baada ya mechi.Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka.
View attachment 3608139
Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa mara nyingine tena wamekiacha chumba hicho kikiwa safi wa kupindukia.
Na hii si mara ya kwanza. Huwa wanafanya hivi kila mara. Wanaichukulia tabia hii kama ustaarabu wa kawaida kabisa na ishara ya heshima kwa wengine, huku mashabiki wao nao wakikusanya na kusafisha taka zote walizoacha uwanjani.
Viumbe tunaoongoza kwa uchafu hapa duniani ni muhindi na hii ngozi nyeusiHao ni zaidi ya Wazungu Mimi nawapenda mno wajapan.
1. Kule Japan kuna Hotel ukila lazima uoshe sahani yako.
2. Hakuna Kuongea na simu maeneo ya public umma wala kupiga honi.
3. Wanafunzi wote wanafundishwa usafi kwa vitendo, hakuna wafanyausafi mashule yote.
Unaingia kutoka wapi ? Na wao waliupata wapi? Sisi ni wapumbavu mno kama wahindi tu mtu anakunya juu ya sinki anaacha choo kama siyo unyani ni nini?Ustaarabu kwao ulianza miaka AFU MOJA iliyopita wakati afrika umeingia miaka 100 iliyopita
Hadi vyuoni na mashuleni watu wanakunya hovyo tu bila kusafisha😁Unaingia kutoka wapi ? Na wao waliupata wapi? Sisi ni wapumbavu mno kama wahindi tu mtu anakunya juu ya sinki anaacha choo kama siyo unyani ni nini?
Sisi miafrika ni ngombe bila viboko hatuwezi kuwa wastaarabu kamwe haliji kutokea maana wasomi ndiyo waanaoongoza kwa wa hovyo kuliko hata vijijiniHadi vyuoni na mashuleni watu wanakunya hovyo tu bila kusafisha😁
Hadi maofisini, mambo ya ******* sana sisi ngozi nyeusiHadi vyuoni na mashuleni watu wanakunya hovyo tu bila kusafisha😁
Kuna vyoo vya Ofisi ya umma niliwahi kwenda vilikuwa havifahi🤮Hadi maofisini, mambo ya ******* sana sisi ngozi nyeusi
Tanzania ni full tafrani, mtu anaongea na simu kwenye eneo la umma, bus au dalaladala kama anahutubia vile, mwingine anaangalia vi video clips bila headphones huku anakenua sura kama anatekenywa vile.Hao ni zaidi ya Wazungu Mimi nawapenda mno wajapan.
1. Kule Japan kuna Hotel ukila lazima uoshe sahani yako.
2. Hakuna Kuongea na simu maeneo ya public umma wala kupiga honi.
3. Wanafunzi wote wanafundishwa usafi kwa vitendo, hakuna wafanyausafi mashule yote.
Hiiil inanikera sana.mwingine anaangalia vi video clips bila headphones huku anakenua sura kama anatekenywa vile
Huwajui wasomali weweViumbe tunaoongoza kwa uchafu hapa duniani ni muhindi na hii ngozi nyeusi
Si ni waislamu wanajinadi kwa usafi?Huwajui wasomali wewe
Kuna walimu hapa shulen kwetu nao hivyohvyo wanakunya juu ya sink, no kuflush asubuh wanafunz wanaenda kusafisha mavi ya walimuHadi vyuoni na mashuleni watu wanakunya hovyo tu bila kusafisha😁