Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

Sisi ngoja tuendelee kupunguza kasi ya internet ili wapinzani wasijetumia kujitangaza!
 
Kuilinganisha Japan na nchi za Africa in terms of development ni kuwakosea heshima
 
@mod nilikusudia kutumia neno "onyesho"

Mkuu, kwenye kiswahili, neno "onyesho" ukilinyumbua, unapataa mzizi wake ni "onya", hivyo sio sasa kwa muktadhi wako.

Neno sahihi hapo ni "Onesho"..

Moderator badilisheni kichwa cha habari.

My take: wenzetu wamepiga hatua ndefuu sanaa...
 
Waache watengeneze ila wakumbuke afrika ndio bara lenye ma-proffessionalist waliobobea katika fani ya uchambuzi wakuchambua bidhaa gani ni feki

halafu katika hizo hizo bidhaa zilizogundulika kwamba ni feki ndio zinazotamba mitaani kuliko original

Kwa starehe hii tu ya vibwagizo sitegemi kuipata ndani ya hilo gari la mjapani

Bado unahamu ya kuhama africa?
 
Kama GX 110 na ma crown manasema yanakula mafuta je hiyo sindo mtalilia
 
Afrika kujifunza kuhusu maendeleo ni jambo gumu sana,tuna miaka mia tano ya kubadili fikra zetu.
 
Sisi wakenya tunafundishwa mfalme wa Japan anaitwa nani, Japan ilipigwa bom la nyuklia ika salenda baada hapo unapewa digrii unaitwa msomi halafu unaambiwa ukajiajiri
 
Back
Top Bottom