Waache watengeneze ila wakumbuke afrika ndio bara lenye ma-proffessionalist waliobobea katika fani ya uchambuzi wakuchambua bidhaa gani ni feki
halafu katika hizo hizo bidhaa zilizogundulika kwamba ni feki ndio zinazotamba mitaani kuliko original
Kwa starehe hii tu ya vibwagizo sitegemi kuipata ndani ya hilo gari la mjapani
Bado unahamu ya kuhama africa?