Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Mkuu mikoa mitatu mbona mingi
 
Hivi tutakapoanz kulipa mkopo Zanzibar nayo italipa fungu lake au ni bara tu itakayobeba mzigo wa deni?
 
Ni jambo jema
 
Nauchukia sana mfumo wa Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar sema tu ndo hivyo nautafutia mkakati wa kuuvunja kwa amani ili haki ya Watanganyika irudi tena
Wewe hata uuchukie haikusaidii,walioweka wanaupenda..

Mwisho ilitakiwa iwe 50/50
 
Ndio maana nomewajibu hapo, Zanzibar wali file Project Japan as so kwa Bara na wao projects yao imepita,kwa hiyo huu ni Mgao au?

Watu wengi akili zimejaa mauji.
 
SSH anajua anachofanya. Hata kama hamtamchagua 2025, ndoto za KUIENDELEZA nchi yake Zanzibar ALIKOZALIWA itakuwa imetimia. Na huko atakuwa shujaa mkubwa. Sisi kwa kuwa tumekubali acha mama ajenge nyumbani. East or West HOME is BEST!
Huu ni upotoshaji,kuna sheria yoyote Serikali ya SSH imevunjwa?
 
Kuna sheria na kanuni za Muungano zimekiukwa?
 
Na infact Zanzibar kama visiwa vingine ingeshakuwa kama Dubai kitambo Sana ni vile Bara ndio wanaizuia..

Visiwa Maskini hapa Duniani ni Zanzibar na Commoros ila wakikaa peke yao Utalii wote ni Zanzibar.
 
Kwani ukivunjwa ndio itaongeza Kasi ya maendeleo bara? 😁😁

Kwanza huku Bara kuna mandezi wengi ndio maana kutwa kuuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…