Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tayari nipo njiani naelekea MWEMBEKIUNONapanda boti Kesho asubuhi naelekea kiembe samaki.
Deni lazima lilipwe na Wadanganyika, si unaona hapo kwenye picha ni nani anaetia saini???Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Mie naona Tanganyika ndio imechukua mgao mkubwa, zilitakiwa zigawiwe sawa kwa sawa. Ni Muungano wa nchi mbili.Hii hatari, mbona Zanzibar wamechukua mgao mkubwa hivyo?
Ningekufunza jambo lakini kwa kauli hii ya "kisiwa cha Zanzibar " basi nimeamua kukuacha na malalamiko yako.Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Kabisa kabisa.Mie naona Tanganyika ndio imechukua mgao mkubwa, zilitakiwa zigawiwe sawa kwa sawa. Ni Muungano wa nchi mbili.
Watanganyika ni wabinafsi sana.Kabisa kabisa.
Watanganyika hawana shukurani kabisa
Haya ndio mambo ya kuhojiwa bungeni kama tungekuwa na bunge.Masuala ya maji Zanzibar si ya muungano! kuna SMZ na idara husika
Zanzibar iliruhusiwa kukopa yenyewe nje ya muungano
Kwanini Zbar inakopa kupitia JMT? Hili deni Zanzibar wanalilipa vipi?
Idadi yao ni kama 4% tu ya watu wote, lakini wanajipa zaidi ya 28% ya pesa yote.
Na deni litalipwa na Tanganyika. Yaani hadi kufika 2025 wana wadanganyika mtaidai wenyewe serikali yenu ya Tanganyika.