Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Masuala ya maji Zanzibar si ya muungano! kuna SMZ na idara husika
Zanzibar iliruhusiwa kukopa yenyewe nje ya muungano

Kwanini Zbar inakopa kupitia JMT? Hili deni Zanzibar wanalilipa vipi?

Huu ni ujanja wa kukopa na kumtwisha Mtanganyika mzigo

Lakini pia angalia mgao wa mkopo ulivyo. Zanzibar ina watu 1.2 . Dsm ina watu milioni 6 !!

Katiba na Tanganyika ni muhimu kuliko uvyama. Hili deni unalipia ukiwa CUF,ACT, Chadema, CCM ilimradi tu wewe ni Mtanganyika! tafakari na ujiulize

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!
Deni lazima lilipwe na Wadanganyika, si unaona hapo kwenye picha ni nani anaetia saini???
 
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!

Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+


Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Ningekufunza jambo lakini kwa kauli hii ya "kisiwa cha Zanzibar " basi nimeamua kukuacha na malalamiko yako.

Wengi wenu mnalalama ovyo tu humu, endeleeni kulalama.

Viva Mama Samia Suluhu Hassan. Jambo la mama ni jambo letu

#nyukiwamama
 
Naona Wakojani awamu hii meno yote nje 😁
Nyerere namkubali sana.
Ila kamwe nitampinga kwa sera yake mbovu ya Ujamaa na pia kwa kitendo chake cha kumbeba mtoto asiye kua miaka yote (Zanzibar)
 
Mama anaupiga mwingi. Mpaka miaka minne iishe, Zanzibar itakuwa mbali sana kimaendeleo na madeni tutaachiwa kulipa Wadanganyika. Ndiyo maana ACT Zanzibar wametulia. Mdanganyika amka!

Hahahaha
 
Idadi yao ni kama 4% tu ya watu wote, lakini wanajipa zaidi ya 28% ya pesa yote.

Na deni litalipwa na Tanganyika. Yaani hadi kufika 2025 wana wadanganyika mtaidai wenyewe serikali yenu ya Tanganyika.

Yani wangekuwa wanalipa deni kama sisi isingekuwa shida sema ni kwamba hata umeme kulipa huwa unawashinda!
 
Back
Top Bottom