#COVID19 Japan yasitisha utumiaji wa chanjo ya Moderna

#COVID19 Japan yasitisha utumiaji wa chanjo ya Moderna

Naamini kwa kuwa nimechanja chanjo nyingi kidogo na hata ndugu zangu na hata wafanyakazi wenzangu , hatujawaipata madhara ikasemekana ni kwasababu ya chanjo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwani madhara yanatokea mara baada tu ya kuchanjwa? Je kama ni ya miaka 10-40 utajuaje? Je kupungua kwa life span ya mwanadamu ndo madhara yenyewe?
 
Kwani madhara yanatokea mara baada tu ya kuchanjwa? Je kama ni ya miaka 10-40 utajuaje? Je kupungua kwa life span ya mwanadamu ndo madhara yenyewe?
Nafikiri umeshasikia madhara ya nyama nyekundu, madhara ya sigara, pombe, mafuta nk.

Ukiacha hizo, dawa zingine zote tunazokunywa zina madhara pia.

Fanya research kuhusu kupungua kwa life span, uangalie na mchango wa chanjo katika hilo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom