#COVID19 Japan yasitisha utumiaji wa chanjo ya Moderna

Wazungu wangekuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo, wangekuwa wamesha leta ya Ukimwi na Malalia JPM alijisemea, Na baada tu ya kusema, Wazungu wamekuja na chanjo za Ukimwi na malalia, hawa watu hawa!!
Tafuta clip ya Dr.Osati kule The chanzo.... Kafafanua kila kitu. Tatizo hatupendi kutafuta facts afu tunajifanya wataalam.

Chanjo ya UKIMWI utafiti umeanza zamani sana same to Malaria.... Nakumbuka kuna mpka polisi wawili walichomwa tukiona live kabisa ITV ilikua 2006 hivi ili kupima madhara ya chanjo kwa binadamu.

Huyo JPM alikua anapenda kuropoka akijua kabisa waTZ sio watu wa kuchanganua mambo.
 
Its a mind control...
Ni kama jela wababe wanavyosema usipoinama hutokula...

Then una feel like nakubaliana nao mapema ili nisije pata shida.

Vaxx inaweza kuwa na madhara ya baadae ikiwamo depopulation... ila kubwa zaidi ni spiritual zombie..anotjer sodoma na gomola kwa maana uzao ulipoteza vinasaba asilia (MNRA/DNA) na artificial intelligence (connected na computer through Nano...5G ma Cloud server...

Otherwise zote ni myth na maoni...
You might be right mkuu...
At least you re smart enough to be open minded. Kuna watu wanataka tuamini chanjo hazina shida yoyote ile..that's very lame despite the overwhelming evidence kuna immediate 3effects zinapata watu kama heart inflammation (myocarditis), the most important question is what might be the long term effects of vaccine? No one knows, not even the smartest minds. You can't do genome sequencing kwenye madhara ya vaccine let's say 10 years or even on intergenerational, I'll be the last person on planet earth to be vaccinated.

And to those ignorant folks wanaosema tumechomwa chanjo kibao, hamna sababu ya kubishana nao sababu you can't argue with stupidity/ignorance, waende kwanza wajifunze tofauti ya live viruses ambazo zimekuwa kwenye chanjo zote za nyuma huko which our immune identified and created antibodies na mRNa vaccine unayochomwa inaenda kutengeneza spike protein kwenye cell. Wakishajua tofauti then ndio warudi kwenye discussion.
 
Unamshawishi mtu akachanje anakubali anaenda mara anapata side effect ya kuganda damu anakufa, hapo sijui familia yake utaiambia nini.

Nawaza tu.
Acha kupotosha mkuu clots ni 0.0003 ya waliochanjwa..... Yaani watu 40 kwa kila dozi million 15 hivi ndio hoja ya kupinga chanjo?? Mbona hta tu ARV au chanjo ya homa ya manjano imesababisha watu kuganda damu ila sijawahi ona mkizipinga hapa??

We ni mtu makini sana so sitegemei upotoshe. Haiwezekani chanjo mzione mbaya lakini ARV muone ni sawa tu wakati ina madhara hta kuliko hizo chanjo.
 
Kuna siku utatokea ugomvi kati ya waliochanjwa na wasiochanjwa. Waliochanjwa wanapata hofu wakisikia kasoro za chanjo na kwa maana hiyo wanatafuta mbinu ili watu wengi wachanje ili ikitokea breaking news iwe harusi. Wasiochanja nao wana wasiwasi kwamba covid ikiwashukia wakati hawajachanja basi wataenda mbinguni kimasihara.
 
At least you re smart enough to be open minded. Kuna watu wanataka tuamini chanjo hazina shida yoyote ile..that's very lame despite the overwhelming evidence kuna immediate 3effects zinapata watu kama heart inflammation (myocarditis), the most important question is what might be the long term effects of vaccine? No one knows, not even the smartest minds. You can't do genome sequencing kwenye madhara ya vaccine let's say 10 years or even on intergenerational, I'll be the last person on planet earth to be vaccinated.

And to those ignorant folks wanaosema tumechomwa chanjo kibao, hamna sababu ya kubishana nao sababu you can't argue with stupidity/ignorance, waende kwanza wajifunze tofauti ya live viruses ambazo zimekuwa kwenye chanjo zote za nyuma huko which our immune identified and created antibodies na mRNa vaccine unayochomwa inaenda kutengeneza spike protein kwenye cell. Wakishajua tofauti then ndio warudi kwenye discussion.
Tunachopinga ni unafiki wenu.... Kma chanjo zina madhara niambie dawa gani haina madhara duniani?? Paracetamol tu ina long term effects kibao.....

Radiopharmaceuticals zinatuua tena instantly ila sijawahi ona mkitumia nguvu kuzipinga. Wagonjwa wa kansa wanaotumia chemotherapy mpka wananyonyoka nywele na kupata complications za organ failure ila sijaona mkitisha watu wasiende ocean road.

Mnashangaza sana
 
Is it personal or General? Sababu am not as ignorant as you, mi natumia dawa za asili siku zote na ninapona. Most of the tropical diseases zinatiba za asili. Labda hayo magonjwa makubwa kama kansa. Nayo unaweza punguza ramifications.

And ofcourse your comparison is lame and uneducated. Sitaki kuelezea why ila kitendo tu cha kusema paracetamol na vaccine inayotumia mRNa ni sawa kupima madhara yake nakuona mjinga.
 
So sad.... kila kitu kiko wazi lakini brains zinagoma kuelewa...

Ukianza kunita mie sijui mtu makini sijui vp kwangu inakuwa kama unaninyima uhuru, maana nitakuwa nahofia kutoa maoni vile navyojisikia kwa kuhofia huko kutoonekana mtu makini. Halafu hakuna niliposema kuwa napinga chanjo kwa sababu ya kuganda damu, nimetaja tu issue ya kuganda damu kitu ambacho kweli kipo hata kama ni kidogo kama mnavyosema ila kipo sasa hapo tatizo langu lipi?
 
Naamini kwa kuwa nimechanja chanjo nyingi kidogo na hata ndugu zangu na hata wafanyakazi wenzangu , hatujawaipata madhara ikasemekana ni kwasababu ya chanjo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Habari Muhimu: Mahakama Kuu ya Amerika imefuta chanjo ya ulimwengu wote

Huko Marekani, Mahakama Kuu imefuta ulazima wa chanjo kwa wote. Bill Gates, Mkuu wa kitengo cha magonjwa ya kuambukiza wa Amerika Fauci, na Big Pharma wameshindwa kesi katika Mahakama Kuu ya Amerika, wakishindwa kudhibitisha kwamba chanjo zao zote katika kipindi cha miaka 32 iliyopita zimekuwa salama kwa afya ya raia! Kesi hiyo iliwasilishwa na kikundi cha wanasayansi kilichoongozwa na seneta Kennedy.

Robert F. Kennedy Jr .: "Chanjo mpya ya COVID inapaswa kuepukwa kwa gharama zote.

Ninatoa tahadhari nyeti katika maswala muhimu yanayohusiana na chanjo inayofuata dhidi ya Covid-19.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya chanjo, chanjo zinazojulikana za mRNA za kizazi cha hivi karibuni huingilia moja kwa moja nyenzo za maumbile ya mgonjwa na kwa hivyo kubadilisha vifaa vya maumbile vya mtu binafsi, ambayo ni udanganyifu wa maumbile, ambayo tayari ilikuwa imepigwa marufuku na hapo awali ilizingatiwa kuwa jinai .
CHANJO ya Virusi vya Corona SIYO A CHANJO! UTAFITI!
Kipo ambacho kimekuwa chanjo kila wakati?
Ilikuwa ni pathojeni yenyewe - microbe au virusi ambavyo viliuawa au kupunguzwa nguvu, ambayo ni dhaifu - na iliingizwa ndani ya mwili ili kutoa antibodies.

CHANJO ya corona ni tofauti kabisa!
Ni sehemu ya kikundi kipya zaidi cha mRNA (mRNA) kinachodaiwa kuwa "chanjo"
Mara tu iingiapo ndani ya seli ya mwanadamu, mRNA hubadili RNA / DNA ya kawaida, ambayo huanza kutengeneza protini nyingine.
Hii haifanani kabisa na chanjo za jadi! Hii huchochea mabadiliko ya maumbile. Silaha ya kijenetiki!. Madhara ya chanjo hii hayatibiki wala kurekebishika.
Kufuatia chanjo isiyo ya kawaida ya mRNA, chanjo hiyo haitaweza tena kutibu dalili za chanjo hiyo kwa njia ya ziada.
Watu waliochanjwa watalazimika kufikia matokeo, kwa sababu hawawezi kuponywa tena kwa kuondoa tu sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, kama ilivyo kwa mtu aliye na kasoro ya maumbile na magonjwa ya kurithi kama vile Sikoseli, Dalili ya Klinefelter, Dalili ya Turner, kushindwa kwa moyo wa maumbile, hemophilia, cystic fibrosis, Dalili ya Rett, na kadhalika.), kwa sababu kasoro ya maumbile ni ya milele!

Hii inamaanisha wazi:
ikiwa dalili ya chanjo itatokea baada ya chanjo ya mRNA, mimi wala mtaalamu mwingine yeyote hataweza kukusaidia, kwa sababu
MADHARA YATAKAYOSABBISHWA NA CHANJO HAYATIBIKI

uvumbuzi
Silaha za mauaji ya kimbari ya karne ya 21.

Mwanasayansi wa zamani wa Pfizer Mike Yeedon ameelezea tena msimamo wake kwamba mpaka sasa dunia imeshachelewa sana kuokoa wale ambao tayari wameshaingizwa na dutu inayoitwa "chanjo ya Covid-19."

Anawahimiza wale ambao bado hawajapata sindano mbaya kupigania maisha yao, wale walio karibu nao na maisha ya watoto wao kwa kukataa chanjo hii.

Mwanasaikolojia mashuhuri wa kimataifa anaendelea kuelezea mchakato ambao anasema utawaua watu wengi:
"Mara tu baada ya chanjo ya kwanza, karibu asilimia 0.8 ya watu hufa ndani ya wiki mbili.
Matarajio ya wastani ya maisha ya waathirika yatakuwa wastani wa miaka miwili, lakini pia hupungua kwa kila "sindano" mpya. "

Chanjo za ziada bado zinaandaliwa kusababisha kuzorota kwa viungo fulani, pamoja na moyo, mapafu na ubongo.

Baada ya miongo miwili(Miaka 20) huko Pfizer, Profesa Yedon alikuwa akijua kazi na utafiti na malengo ya maendeleo ya Pfizer kubwa ya dawa, na inasema kwamba lengo la mwisho la serikali ya sasa ya "chanjo" inaweza tu kuwa tukio kubwa la idadi ya watu ambalo litafanya vita vyote vya ulimwengu kuwekwa pamoja, kama Panya ya Mickey inayoangazia.

"Mabilioni ya watu tayari wamehukumiwa kifo fulani, kisichoepukika na kichungu. Mtu yeyote anayepokea sindano atakufa mapema, na miaka mitatu ni makisio ya muda gani wanaweza kuishi."

Mungu atusaidie o. Wengine wetu tumeanza na sindano/dozi ya kwanza, tukingojea sindano/dozi ya pili! Machafuko makubwa, ikiwa hii ni kweli. Hii itakuwa na athari mbaya sana. Wanaotangaza na kushawishi watu kupata chanjo ya Corona wanatakiwa kushitakiwa/kufunguliwa kesi ya mauaji mara moja. Wanapaswa kukabiliwa na kesi ya GENOCIDE, na hii inapaswa kuwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya jinai ya haki....
Hii ni zaidi ya hatari

TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HII!
 
Ukiandika hivi wewe ni shingo ngumu kuelewa hapa ni zero... ila naheshimu unachoamini mkuu...

Hizo data wanakupa wao na big tec wa na control.data na media with their cancel culture ya fact check, dubunkes ama kufungiwa kabisa.

Yes tunafurahia ARV kwakuwa waliotengeneza HIV ndio wana nguvu ya ku control na hivyo kutufanya tuwe beautiful slaves..

Lucifer alimwambia Yesu.. dunia na vilivyomo ni vyangu... niabudu nikugawie... leo hii uzao wake kwa maana ya akina Gates na Fauchi na Bamao na akina Vaticona ndio wanatumaliza spiritually na physically chini na Kabbalah system...

Magonjwa na chanjo ni sehemu ya population control, spiritual control ikiwamo kufifisha pineal gland ambayo ndio connection yetu na super heavenly power..

Wake up ndugu..

Ahadi ya Lucifer kwa Mungu ni kwamba he wont burn alone... he is taking us all with him... i choose not to go.with Lucifer
Acha kupotosha mkuu clots ni 0.0003 ya waliochanjwa..... Yaani watu 40 kwa kila dozi million 15 hivi ndio hoja ya kupinga chanjo?? Mbona hta tu ARV au chanjo ya homa ya manjano imesababisha watu kuganda damu ila sijawahi ona mkizipinga hapa??

We ni mtu makini sana so sitegemei upotoshe. Haiwezekani chanjo mzione mbaya lakini ARV muone ni sawa tu wakati ina madhara hta kuliko hizo chanjo.
 
Tunachopinga ni unafiki wenu.... Kma chanjo zina madhara niambie dawa gani haina madhara duniani?? Paracetamol tu ina long term effects kibao.....

Radiopharmaceuticals zinatuua tena instantly ila sijawahi ona mkitumia nguvu kuzipinga. Wagonjwa wa kansa wanaotumia chemotherapy mpka wananyonyoka nywele na kupata complications za organ failure ila sijaona mkitisha watu wasiende ocean road.

Mnashangaza sana
Ndimu, tangawizi, kitunguu, mwarobaini na dawa zote za aina hiyo ukinitajia madhara yake nakunY* mafungu mafungu kutoka posta mpaka salender

kama ulikuwa unadhani ni viungo vya pilau pata malaria kali afu uje nikuelekeze cha kufanya, wanayoyajua haya hawaogopi hata wukimwi sembuse kolona.

nliposikia 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa' nikajua ni wale ambao hawajaenda shule kumbe maarifa sio degree, degree ni taarifa za kujibia mitihani
 
Kuna siku utatokea ugomvi kati ya waliochanjwa na wasiochanjwa. Waliochanjwa wanapata hofu wakisikia kasoro za chanjo na kwa maana hiyo wanatafuta mbinu ili watu wengi wachanje ili ikitokea breaking news iwe harusi. Wasiochanja nao wana wasiwasi kwamba covid ikiwashukia wakati hawajachanja basi wataenda mbinguni kimasihara.
Yani watu ambao hawajali kujikinga na corona hadi dakika hii ndio hao unaosema wana wasiwasi kwa kutochanjwa kwamba watapata corona watakufa?
 
Ukianza kunita mie sijui mtu makini sijui vp kwangu inakuwa kama unaninyima uhuru, maana nitakuwa nahofia kutoa maoni vile navyojisikia kwa kuhofia huko kutoonekana mtu makini. Halafu hakuna niliposema kuwa napinga chanjo kwa sababu ya kuganda damu, nimetaja tu issue ya kuganda damu kitu ambacho kweli kipo hata kama ni kidogo kama mnavyosema ila kipo sasa hapo tatizo langu lipi?
Lakini kipo kwa dawa karibu zote.... Hta kuna cases za damu kuganda kwa wagonjwa wa Covid 19 na ilielezwa na Dr.Osati vizuri kabisa. blood clots zipo kwa kila medication mpka za kisukari sijui kwanini mnaigeuza ni specific kwa Chanjo za Covid mnakosea sana.
 
Yani watu ambao hawajali kujikinga na corona hadi dakika hii ndio hao unaosema wana wasiwasi kwa kutochanjwa kwamba watapata corona watakufa?
Ndio kuna binti mmoja tumebishana sana kuhusu uwepo wa Covid yupo Singida. Sasa anapoishi pale mzee katandikwa anahemea mitungi na jirani yake naye kazikwa majuzi.

Juzi hapa anaongea kwa hofu imebidi hadi apige simu kijijini kwao kwamba Baba na Mama (ambao wapo above 60) wakachanjwe haraka sana kma sio jj basi waende zenji wakachome Sputnik!!

So hao ndio jamaa anaongelea sio nyie ambao bado hamjapata mgonjwa na umuuguze kwa kutegemea mtungi!!
 
Ndimu, tangawizi, kitunguu, mwarobaini na dawa zote za aina hiyo ukinitajia madhara yake nakunY* mafungu mafungu kutoka posta mpaka salender

kama ulikuwa unadhani ni viungo vya pilau pata malaria kali afu uje nikuelekeze cha kufanya, wanayoyajua haya hawaogopi hata wukimwi sembuse kolona.

nliposikia 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa' nikajua ni wale ambao hawajaenda shule kumbe maarifa sio degree, degree ni taarifa za kujibia mitihani
Wewe inaonekana hauna elimu na hayo maarifa pia huna hivyo ulivyotaja vikitumika kama dawa huku havijabalanciwa maabara vinakua na toxication kubwa..... Dawa za kimasai zinaweza ponya ugonjwa wowote ila sasa zina toxication nyingi hta zinaweza ua maini.

Umesema tangawizi eeh??
Screenshot_2021-08-27-19-15-49-1.png

Narudia tena hakuna kitu kisicho na madhara..... Hta malimao yanasaidia kupunguza kikohozi ila ukizidisha damu inapata changamoto!!
 
Ukiandika hivi wewe ni shingo ngumu kuelewa hapa ni zero... ila naheshimu unachoamini mkuu...

Hizo data wanakupa wao na big tec wa na control.data na media with their cancel culture ya fact check, dubunkes ama kufungiwa kabisa.

Yes tunafurahia ARV kwakuwa waliotengeneza HIV ndio wana nguvu ya ku control na hivyo kutufanya tuwe beautiful slaves..

Lucifer alimwambia Yesu.. dunia na vilivyomo ni vyangu... niabudu nikugawie... leo hii uzao wake kwa maana ya akina Gates na Fauchi na Bamao na akina Vaticona ndio wanatumaliza spiritually na physically chini na Kabbalah system...

Magonjwa na chanjo ni sehemu ya population control, spiritual control ikiwamo kufifisha pineal gland ambayo ndio connection yetu na super heavenly power..

Wake up ndugu..

Ahadi ya Lucifer kwa Mungu ni kwamba he wont burn alone... he is taking us all with him... i choose not to go.with Lucifer
Well and good ni vya Lucifer..... Sasa kwanini unatumia smartphones na 4G technology ya lucifer and big tech companies ila hutaki kutumia chanjo ya Lucifer??

Au nguruwe ni haramu ila supu yake halali?
 
Is it personal or General? Sababu am not as ignorant as you, mi natumia dawa za asili siku zote na ninapona. Most of the tropical diseases zinatiba za asili. Labda hayo magonjwa makubwa kama kansa. Nayo unaweza punguza ramifications.

And ofcourse your comparison is lame and uneducated. Sitaki kuelezea why ila kitendo tu cha kusema paracetamol na vaccine inayotumia mRNa ni sawa kupima madhara yake nakuona mjinga.
Acha kukimbia.... Unadhani kutumia english mbovu hiyo ndio kuonekana msomi?? Radio frequency haina madhara tena ya instant? Wewe unaongelea tu speculations za mRna?? Ambazo hata nikikuhoji HUZIJUI!!

Kama unajiamini hapa eleza tofauti ya long term effects za dawa zingine mfano Radiopharmaceuticals as compared to kutumia chanjo. Sio unakejeli watu wakati unashindwa pinga facts nilizotoa.

Ni hivi 84% ya watumiaji wa Radiopharmaceuticals wanaathirika ndani ya saa 48.... Name a better rival!! Alafu hujawahi zipinga kutumika unakuja na kelele za chanjo!! Huo unafiki wenu kawapelekee mbumbumbu wenzio wa FB sio huku kwa GT!!

Eti herbals!! Hizo herbal mbona haziwezi kufubaza UKIMWI mpaka wazungu wamewaletea ARVs!!
 
Wewe inaonekana hauna elimu na hayo maarifa pia huna hivyo ulivyotaja vikitumika kama dawa huku havijabalanciwa maabara vinakua na toxication kubwa..... Dawa za kimasai zinaweza ponya ugonjwa wowote ila sasa zina toxication nyingi hta zinaweza ua maini.

Umesema tangawizi eeh??
View attachment 1911465

Narudia tena hakuna kitu kisicho na madhara..... Hta malimao yanasaidia kupunguza kikohozi ila ukizidisha damu inapata changamoto!!
😅 hiyo wameandika wazungu wanaokuletea chanjo

jamaa angu you are totally brainwashed na hawa western, yaani wakinya chochote we ndo unaona chakula ya akili

kama taarifa zako ni za kugoogle kihivi hamna wa kubishana hapo google hata mi nnayo ningeenda kubishana nayo kama napenda ubishi,

robotic generation
 
Swali bovu ila ntakuelimisha...

Tuko kwenye middle of matrix..

Tumekamatwa kwenye ulimwengu wa shetani bila hitaji letu... kuna tutakavyotumia na viko hatutotumia... na yet haizuii mjinga kujifunza unless unakuwa na kichwa kigumu

Ni ngumu kukwepa tech hivyo swali lako halifanyi ukweli kuwa uwongo

Back
Top Bottom