Umefanya utafiti ukajiridhisha hakuna madhara? Anza utafiti ndugu yangu, tafuta waafrika wasio na chanjo ambao kwa Sasa ni ngumu kuwapata, yaani wale walioishi kipindi Cha Akina Kinjeketile Ngwale, fanya tathimini ya kibaiolojia ya mifumo ya fahamu, akili na mingineyo kuona Kama iko sawa na mifumo yetu ya kimwili Karne hizi za chanjo,Nmechanja ya TB
Nimechanja ya Polio ,pepopunda ,tetenus , manjano , hapatitis B. Na sasa ya corona.
Sikuwa na mashaka nazo.
Hii JJ nimeifuatilia angalau kwasababu ya kuwepo maneno mengi mitandaoni. Mwisho wa siku nikaamua kwenda kuchanja.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mzungu sio lazima akuue, hata akidisturb your mental balance inamtosha sana.
Kama hujafanya tafiti ya Aina hio hauna haki ya kutangaza usalama wa chanjo,
Nenda kachanje then ishi kwa Imani yako juu ya chanjo