johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usiwasahau na wanafamilia wako bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwasahau na wanafamilia wako bwashee!
Wameweza walichoweza kuna ubaya gani?wazungu wangekuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo, wangekuwa wamesha leta ya Ukimwi na Malalia JPM alijisemea, Na baada tu ya kusema, Wazungu wamekuja na chanjo za Ukimwi na malalia, hawa watu hawa!!
Kwani sie wataalamu wetu si walishachunguza na kuona ni salama?Kwa level ya technology na ustaarabu wa watu wa Japan pamoja na weledi wao ningependekeza watufanyie uchunguzi na ile yetu ya uncle jj
[emoji3][emoji3] mwanzo walikataa nikaenda peke yangu. Ila sikuchoka kujibu maswali yao juu ya mashaka waliyo nayo. Hadi wanaamua kuchanja sikuwa nimemshinikiza yeyote.Usiwasahau na wanafamilia wako bwashee!
Inawezekana ni kweli wapo waliopata madhara, lakini mimi binafsi sinfahamu hata mmoja. Na ukichukulia ninaowafahamu hakuna hata mmoja aliyedhurika, basi inabaki kuwa story tu kama ulivyoongea.Nani sasa unategemea atakwambia hayo madhara ya chanjo ? ukiangalia siku hizi tunaangaika na maradhi ya ajabu ajabu tofauti na zamani, nani anajua kama ile michanjo ndio chanzo? mfano hivi mpaka sasa umesikia wakitangaza hata mtu mmoja tu aliyepata madhara kwa sababu ya hizi chanjo za corona?
Utasikia tu humu zile side effects ndogo ndogo za kuumwa kichwa au homa tu basi, ila mpaka sasa kuna watu wanaganda damu na kupoteza maisha na wengine kuparalyze wapo tu kitandani ila umesikia yakielezwa haya zaidi ya kunadi tu kuwa chanjo ni salama?
Eeh kwa wataalamu wenu wanaochunguza content ya sumu tu na kutumia hisia wacha niendelee kuangalia tu ambao watatumia chanjo hizo mwisho wao ukoje 😅Kwani sie wataalamu wetu si walishachunguza na kuona ni salama?
Zamani wewe ulikuwepo?.Na je hao watu wa zamani yako leo wapo?.Kama hawapo jua ni maradhi hayo hayo ndiyo yaliyowachukua.hakuna jambo jipya duniani.Nani sasa unategemea atakwambia hayo madhara ya chanjo ? ukiangalia siku hizi tunaangaika na maradhi ya ajabu ajabu tofauti na zamani, nani anajua kama ile michanjo ndio chanzo? mfano hivi mpaka sasa umesikia wakitangaza hata mtu mmoja tu aliyepata madhara kwa sababu ya hizi chanjo za corona?
Utasikia tu humu zile side effects ndogo ndogo za kuumwa kichwa au homa tu basi, ila mpaka sasa kuna watu wanaganda damu na kupoteza maisha na wengine kuparalyze wapo tu kitandani ila umesikia yakielezwa haya zaidi ya kunadi tu kuwa chanjo ni salama?
Kuchanja au kutochanja hakumaanishi umekwepa kifo.Eeh kwa wataalamu wenu wanaochunguza content ya sumu tu na kutumia hisia wacha niendelee kuangalia tu ambao watatumia chanjo hizo mwisho wao ukoje [emoji28]
Ila tuappreciate wanachokifanya hawa wenzetu, maana kujitolea kufanya majaribio ya chanjo tena bure si kitu kidogo.Eeh kwa wataalamu wenu wanaochunguza content ya sumu tu na kutumia hisia wacha niendelee kuangalia tu ambao watatumia chanjo hizo mwisho wao ukoje 😅
Wafuasi wa Gwajima mna shida sana...title chanjo yasitishwa...content inaongelea specific batch lineJapan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (Kovid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa kwenye chupa ambazo hazijafunguliwa.
Nazungumzia maradhi na si vifo maana tunajua kifo kipo tu na wala hizo chanjo za corona si kwa ajili ya kuzuia kifo, kwahiyo nimejibu kwa nyie mnaosema kwamba et mmechanja chanjo toka utotoni na hamjapata madhara yeyote sasa sijui mlitegemea nani wa kuwaambia hayo madhara wakati sasa hivi tu hayo madhara ya chanjo za corona hamuambiwi.Zamani wewe ulikuwepo?.Na je hao watu wa zamani yako leo wapo?.Kama hawapo jua ni maradhi hayo hayo ndiyo yaliyowachukua.hakuna jambo jipya duniani.
Ni vizuri..mimi sijawahi kuchanja chanjo yoyote ile maishani..wazazi wangu walikataa chanjo. And am good still.Nmechanja ya TB
Nimechanja ya Polio ,pepopunda ,tetenus , manjano , hapatitis B. Na sasa ya corona.
Sikuwa na mashaka nazo.
Hii JJ nimeifuatilia angalau kwasababu ya kuwepo maneno mengi mitandaoni. Mwisho wa siku nikaamua kwenda kuchanja.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe kusema humfahamu aliyepata madhara ya chanjo si ajabu na wala sikupingi maana hata hiyo covid yenyewe tu wapo watu hadi sasa wanasema hawajaona mtu yeyote wanayemjua aliyekufa kwa covid, kwahiyo yote yanawezakana ila haina maana ya kwamba hakuna watu waliyopata madhara ya chanjo za corona au hakuna vifo vya covid.Inawezekana ni kweli wapo waliopata madhara, lakini mimi binafsi sinfahamu hata mmoja. Na ukichukulia ninaowafahamu hakuna hata mmoja aliyedhurika, basi inabaki kuwa story tu kama ulivyoongea.
Au basi share na wana jf hapa ili waelimike. JJ ilipolalamikiwa Marekani na Ulaya utoaji wa chanjo ukasitishwa ili kupisha uchunguzi.
Naamini na hapa Tz watu waliodhurika wakipaza sauti uchunguzi zaidi wa hii chanjo utafanyika, lakini ikibaki story tu namna hii ni vigumu kuchukua hatua.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Japan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (Kovid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa kwenye chupa ambazo hazijafunguliwa.
Unafirikiri basi hata ni serikali ya Japan ndo waliogundua?Hapana,Ni kampuni ya usambazaji yenyewe iliitaarifu serikali ya Japan out of caution- ingawa wanasema hata kwa wachache waliochanga kwenye hiyo batch hamna changamoto.Ingekuwa kampuni zetu za kina Mwajuma Ndalandefu wangetambaa na biti tu 🤣 🤣Kwa level ya technology na ustaarabu wa watu wa Japan pamoja na weledi wao ningependekeza watufanyie uchunguzi na ile yetu ya uncle jj
Rungwe anakwambia wanaopinga chanjo ni washamba tu 🤣 🤣 Gwajima anapinga pinga chanjo tu,wamuulize chanjo nzuri ni ipi au atuletee yeye kama anaweza-Ni ujinga mtupu[emoji3][emoji3] mwanzo walikataa nikaenda peke yangu. Ila sikuchoka kujibu maswali yao juu ya mashaka waliyo nayo. Hadi wanaamua kuchanja sikuwa nimemshinikiza yeyote.
Hata booster sitamshinikiza mtu.
Wakitaka wabust wakitaka waache.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Haawa wa kwetu hata wakikuta hawatasema,muhimu chanjo za mzungu ziishe.Ila kwenye chanjo ya anko JJ si hakuna uchafuzi uliogundulika?? Tuendelee na chanjo
Mkuu unaishi kwa kufuata maswali ya mwendazake? Kiufupi chanjo ya malaria ipo kwenye advanced trialswazungu wangekuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo, wangekuwa wamesha leta ya Ukimwi na Malalia JPM alijisemea, Na baada tu ya kusema, Wazungu wamekuja na chanjo za Ukimwi na malalia, hawa watu hawa!!
Japanese they are very smart.Japan ilisitisha utumiaji wa dozi karibu milioni 1.63 za chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani ya Moderna dhidi ya corona (Kovid-19) baada ya vitu visivyojulikana kugunduliwa kwenye chupa ambazo hazijafunguliwa.
Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya ya Japan, ilibainika kuwa habari zilipokelewa kutoka kwa zaidi ya tovuti moja ya chanjo kwamba