Japanesevehicles.com

Japanesevehicles.com

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,739
Reaction score
748
Wakuu kuna hii company inahusika na uuzaji na usafirishaji wa magari ambayo ni used from Japan to any country, bei zao nimeona cheap sana.
Kwenye stoke yao unachagua gari kwa njia ya mtandao wanakujumlishia kila kitu ambacho unahitaji kiwepo kwenye gari yako uliyochagua afu baadaye unawatumia hela kwa njia walizopendekeza, wakipata hela ndo wanakutumia gari yako mpaka destination uliyochagua mfano kwa Tz ni dsm au mombasa.
Hakikisha hapa. www.japanesevehicles.com
Je kuna mtu anauhakika na hii company kuwa inaexist na siyo matapeli wa mjini, Je Tz wanaye wakala. Je kunmwanajf yeyote alishawahi kuagiza gari na hii shirika na hakuzulumiwa.
Nauliza coz nimeona bei zao zipo cheap sana.
Naomba ushauri ili kama hii company inaexist nitumie kununua gari yangu.
Coz nimepiga hesabu kwa starlet jumla yake mpaka inafika bongo CFI ni kama 3.5 m tu hivi. Help please.
 
Hakikisha hapa. Japanese Used Cars, Vehicles: Sale+Export | JapaneseVehicles.com
Je kuna mtu anauhakika na hii company kuwa inaexist na siyo matapeli wa mjini, Je Tz wanaye wakala. Je kunmwanajf yeyote alishawahi kuagiza gari na hii shirika na hakuzulumiwa.
Nauliza coz nimeona bei zao zipo cheap sana.
Naomba ushauri ili kama hii company inaexist nitumie kununua gari yangu.
Coz nimepiga hesabu kwa starlet jumla yake mpaka inafika bongo CFI ni kama 3.5 m tu hivi. Help please.

Hao wanaitwa TRUST ni Japanese Vehicles export dealers,ni kampuni inayotambulika kimataifa,hakuna utapeli,kuna dada mmoja alishawahi kununua gari kwao ningekuunganisha naye akujuze ila kwa sasa yuko nje ya nchi,have no doubt.
 
Ni kweli hii ni kampuni ya muda mrefu katika export ya used cars from Japan. Ila kuna watu wamewahi kuintefere na website yao wakakusanya fedha za watu na hawakupata magari. Kwa hiyo nenda Japanese Embassy kwa commercial attache akakufanyie screening.
 
Asanteni sana wakuu nitafanya hivyo. Ushauri mzuri sana thanks Jf.
 
Ni kweli hii ni kampuni ya muda mrefu katika export ya used cars from Japan. Ila kuna watu wamewahi kuintefere na website yao wakakusanya fedha za watu na hawakupata magari. Kwa hiyo nenda Japanese Embassy kwa commercial attache akakufanyie screening.

Hapo ni kweli Mkuu, hao matapeli walikuwa wantumia jina hilohilo na kubadilisha herufi chache tu, labda wanatoa s tu kwenye Vehicle, sasa unapogoogle zote zinakuja, original na fake, hivyo ukiingia kwenye fake tu umeliwa

ushauri wa kwenda embassy ndio wa busara
 
Mimi nimeshanunua kutoka kwa hao watu.... Hawana shida kabisa... Agiza tu broda..
 
Hao jamaa ni reliable, binafsi nilinunua gari kwao mapema mwaka 2005,mpaka leo natumia hii gari na iko kwenye hali nzuri,so go for it man.
 
Kampuni ya ukweli mkuu mimi nimeshanunua gari mbili toka kwao na hapa ofisini watu kama 12 wote kwa nyakati tofauti wamenunua huko . ni kampuni isiyokuwa kna longolongo kabisa pia magari yao yanapata service ya ukweli kabla ya kuuzwa kwa mteja.
 
Je wadau vipi kuhusu tradecarview na paytrade yao,je ni uhakika? Maana kuna gari nili-request cif mjepu kaniambia usd 2850(mark ii grande 2001),nikamwambia je nikilipia kwa paytrade inakuaje akasema inabidi ni add 192usd,je kununua gari tradecarview with paytrade ni uhakika?
 
Ni kampuni ya siku nyingi tokea 80's huko, for exporting used vehicles hao ndio kinara, me binafsi nimeagiza kwa gari mara 6 wapo safi na magari yao yapo katika good condition na yanafika kwa muda ambao wameutaja. Tatizo siku hizo wamekuwa na magari ya bei juu tofauti na mwanzo, bt all in all wapo poa just be free kumake order sioni kama kuna ulazima wa kwenda hadi embassy kufanya confirmation, TRUST!
 
Je wadau vipi kuhusu tradecarview na paytrade yao,je ni uhakika? Maana kuna gari nili-request cif mjepu kaniambia usd 2850(mark ii grande 2001),nikamwambia je nikilipia kwa paytrade inakuaje akasema inabidi ni add 192usd,je kununua gari tradecarview with paytrade ni uhakika?

Kwa paytrade sina uhakika bt kuwa mwangalifu sana jaribu kutumia makampuni kidogo yenye uzoefu like Autorec, Trust or carjunction mbona bei ni cheap hivyo hivyo.
 
Asanteni sana wakuu, nikishapata nitawapa taarifa, be blessed for your comments
 
Je wadau vipi kuhusu tradecarview na paytrade yao,je ni uhakika? Maana kuna gari nili-request cif mjepu kaniambia usd 2850(mark ii grande 2001),nikamwambia je nikilipia kwa paytrade inakuaje akasema inabidi ni add 192usd,je kununua gari tradecarview with paytrade ni uhakika?

model ya 2001 TRA watakumaliza kwa tax, tafuta gari model ya less than 10 yrs. Nenda web ya tra ujue ni jinsi gani wanakokotoa
 
Asanteni sana wakuu, nikishapata nitawapa taarifa, be blessed for your comments

Mkuu hakikisha kuwa ile inayoitwa "TRUST COMPANY" ili isije ikawa ni counterfeit yake. Kama ni hiyo TRUST COMPANY wewe agiza na lipia kupitia benki bila wasiwasi. Mimi nilishanunua kwao kukatokea tatizo kidogo gari niliyolipia ikawa imelipiwa kabla na mtu mwingine lakini wakanitafutia gari nyingine nzuri zaidi ya ile ya kwanza na chenji wakanirudishia. Wanaaminika mno.
 
Back
Top Bottom