Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
Wakuu kuna hii company inahusika na uuzaji na usafirishaji wa magari ambayo ni used from Japan to any country, bei zao nimeona cheap sana.
Kwenye stoke yao unachagua gari kwa njia ya mtandao wanakujumlishia kila kitu ambacho unahitaji kiwepo kwenye gari yako uliyochagua afu baadaye unawatumia hela kwa njia walizopendekeza, wakipata hela ndo wanakutumia gari yako mpaka destination uliyochagua mfano kwa Tz ni dsm au mombasa.
Hakikisha hapa. www.japanesevehicles.com
Je kuna mtu anauhakika na hii company kuwa inaexist na siyo matapeli wa mjini, Je Tz wanaye wakala. Je kunmwanajf yeyote alishawahi kuagiza gari na hii shirika na hakuzulumiwa.
Nauliza coz nimeona bei zao zipo cheap sana.
Naomba ushauri ili kama hii company inaexist nitumie kununua gari yangu.
Coz nimepiga hesabu kwa starlet jumla yake mpaka inafika bongo CFI ni kama 3.5 m tu hivi. Help please.