Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam na Abdulaaziz Ally kutokea Arusha.
========================
Huyu ndiye refa Aliyemaliza mpira mara tu Coastal ilipokaribia kupata bao la 3 dhidi ya Simba, akawaokoa Simba na kipigo wakapata Sare ya 2-2
Huyu ndiye refa aliyewadhoofisha Namungo kwa kuwapa kadi nyekundu dakika ya 32 na kuwapa Simba Penalt 3 akihakikisha Simba wanaondoka na alama 3 kwa lazima😂😂😂
Kesho atakuwa pilato pale Meja Jenerali Isamuhyo