Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Hapo hakuna jipya,ni mwendo wa kadi nyekundu na penalt tu.
Huyu boya aliipendelea waziwazi timu ya simba kwenye mechi yao dhidi ya Namungo fc, na hatukusikia akichukuliwa hatua za kinidhamu! Alitoa faulo nyingi zenye utata nje ya enelo la 18 ya Namungo, alipotezea faulo nyingi walizochezewa wachezani wa Namungo, alitoa penati ya mchongo ili kuinufaisha simba, alimtoa mchezaji wa Namungo kwa kadi nyekundu bila ya kufanya kosa! Na bado hakufanywa chochote!View attachment 3324727
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam na Abdulaaziz Ally kutokea Arusha.
========================
Huyu ndiye refa Aliyemaliza mpira mara tu Coastal ilipokaribia kupata bao la 3 dhidi ya Simba, akawaokoa Simba na kipigo wakapata Sare ya 2-2
Huyu ndiye refa aliyewadhoofisha Namungo kwa kuwapa kadi nyekundu dakika ya 32 na kuwapa Simba Penalt 3 akihakikisha Simba wanaondoka na alama 3 kwa lazima😂😂😂
Kesho atakuwa pilato pale Meja Jenerali Isamuhyo
Unajua GSM ameanza lini kuifadhili Yanga?
Tatu naye angeongezwaView attachment 3324727