Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Na ile ya nusu fainal Cafcc alichezesha yeye?
Simba hua anapewa sh ngapi na YangaYanga kupitia GSM wanalipa timu pinzani zaidi ya milioni 100.
Simba wanampa Refa milioni 5.
Akili kumkichwa.
N:B.
KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA UNAANZA KUWA KICHAA.
Siyo rahisi kumwona jafeth smart akichezesha mpira wa haki badala yake kesho natarajia kumwona jafeth stupid akichezesha mpira kati ya kolo na jkt Tanzania.View attachment 3324727
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam na Abdulaaziz Ally kutokea Arusha.
========================
Huyu ndiye refa Aliyemaliza mpira mara tu Coastal ilipokaribia kupata bao la 3 dhidi ya Simba, akawaokoa Simba na kipigo wakapata Sare ya 2-2
Huyu ndiye refa aliyewadhoofisha Namungo kwa kuwapa kadi nyekundu dakika ya 32 na kuwapa Simba Penalt 3 akihakikisha Simba wanaondoka na alama 3 kwa lazima😂😂😂
Kesho atakuwa pilato pale Meja Jenerali Isamuhyo
We ni pepo shindwa na ulegeemi naomba wamvunje miguu, shomari kapombe, mpanzu na ahoua. ila berkani akateleze
Kutoka chanzo kipi? Kijiweni au kwenye vyanzo rasmiKwani hii mechi si nilisikia imehamishiwa uwanja wa mkwakwani tanga?
Kijiwe cha kahawa Uwanja wa Ilala.Kutoka chanzo kipi? Kijiweni au kwenye vyanzo rasmi
nilishawaambia kwa viongozi Hawa wa tff hakuna cha maana kwenye mpira wetuView attachment 3324727
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam na Abdulaaziz Ally kutokea Arusha.
========================
Huyu ndiye refa Aliyemaliza mpira mara tu Coastal ilipokaribia kupata bao la 3 dhidi ya Simba, akawaokoa Simba na kipigo wakapata Sare ya 2-2
Huyu ndiye refa aliyewadhoofisha Namungo kwa kuwapa kadi nyekundu dakika ya 32 na kuwapa Simba Penalt 3 akihakikisha Simba wanaondoka na alama 3 kwa lazima😂😂😂
Kesho atakuwa pilato pale Meja Jenerali Isamuhyo
Hadi mdhamini wetu ni mtu wenu!! Kweli makolo ni mamafia. Kumbe Yanga ilipo ni Mungu.