Japhet Smart kutoka Katavi ndiye Refarii kati ya JKT Tanzania Vs Simba, tutegemee yapi kutoka kwake?

Hapo hakuna jipya,ni mwendo wa kadi nyekundu na penalt tu.
 
Tutegemee mnuno tena na hewa chafu kesho kutoka nyuma mwiko
 
Huyu boya aliipendelea waziwazi timu ya simba kwenye mechi yao dhidi ya Namungo fc, na hatukusikia akichukuliwa hatua za kinidhamu! Alitoa faulo nyingi zenye utata nje ya enelo la 18 ya Namungo, alipotezea faulo nyingi walizochezewa wachezani wa Namungo, alitoa penati ya mchongo ili kuinufaisha simba, alimtoa mchezaji wa Namungo kwa kadi nyekundu bila ya kufanya kosa! Na bado hakufanywa chochote!

Na katika mechi nyingine zijazo tegemea pia kumuona Tatu Malogo, na Kepha Kayombo wakichezesha hizo mechi nyingine! Ila siyo Ahmed Arajiga, au mwamuzi mwingine anauesimamia sheria 17 za mpira wa miguu!
 
Aise ndio maana simba anafanya vizuri kimataifa .

Yani timu inakamiwa kila kukicha
 
Awa marefa Leo ndio Watakua mfano na wata acha kabisa vitendo vya upendeleo, Bahati nzuri hakutakua na Shabiki wala mlinzi atakaye watetea zaidi ya kuchezesha kwa haki.
 
Tatu naye angeongezwa
 
Hapo tegemea faulo nyingi atapewa kolo nje ya boksi la jkt na hali ikiwa ngumu basi penati kwa kolo lazima apewe kifupi leo ni kama mechi iliyopita halafu c.e.o ni familia kwa nn kolo asishinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…