Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Kama hukuweza kuuona ukichaa wake huenda na wewe ni kichaa
 
Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Huyo TV na Radio yake iliwahi kufungiwa kwa kudaiwa malimbikizo makubwa ya kodi ambayo alikuwa halipi kwa makusudi. Hivyo hawezi kumpenda JPM na kwa sababu JPM hayupo ndio maana sasa anamshambulia.

Aeleze kwanza kama yeye ni mzalendo kuliko JPM kwa nini awamu ya nne alikuwa halipi kodi?

Watu wanaumwa na kupona, kwenda specialist hospital haimaanishi mtu hawezi kupona na kufanya kazi fulani.
 
Yeye mwenyewe alikuwa zaidi ya mpigaji, jambazi sugu baba wa Sabaya na Makonda.... mwezi mchanga org huyo anajulikana, ni vile kichaa chake kilikuwa kinadhibitika hivyo kuna kipindi anakuwa poa na akicharuka mnaokota maiti kwenye viroba.
Jambazi sugu? Uko na mahisia kama wa Kike.
 
Media zake ziliifanyia kampeni CCM bure kwa makubaliano ya kupata upendeleo wa kodi lakini wakamchenjia kama ilivyotokea kwa Shigongo,CCM wachafu sana
 
Kwahiyo mashule, zahanati, hospitali na mabarabara yanayojengwa nchini ni ccm inajenga? Una akili timamu kweli? Inahitaji rocket science kujua kwamba miundombini hhii inajengwa kutokana na kodi tunaxolipa watanzania?
 
Hao IQ zao ni below average ivyo usitumie nguvu kubwa mkuu,twende nao taratibu
 
Watu wa system Walimpa kwa sababu walijua watapata fursa ya kupiga wakijua kuwa kichaa hatojua,kibao kikawageukia wakaja na plan B
Umepatia sana. Nchi hii watu wanaangalia fursa ya upigaji tu. Rais akiwa fyatu wanakanyagana kuwa wehu zaidi kufikia fursa kuu za ulaji.
 
Huyu mzee nazani akili hana na ni majeruhi wa siasa na hii ni shida ya wanasiasa wa sasa wanapima msimamo wa mama samia ili wamchokonoe vizuri. Hawa wazee waliokula bata zama zao zilishapita na sio wakuchekewa hata kidogo wanataka kuvuruga amani tuu na kauli zisizo na staha hata kidogo.
 
Ukipima IQ yako utakuta iko below average,unahitaji kuhurumiwa sana
 
".Ndio Maana Nilipotoka Pale Nikaona Nitafute Waziri Ambaye Atakua Ni KICHAA KICHAA Kama Mimi." - John Pombe Magufuli (4/9/2018)
Nahisi nimeelewa leo
Mwendawazimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtaelewa tu na mtatuomba radhi.
 
Waimba mapambio sijui "vetting" na mambo kama hayo wako wapi??
 
Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Ni hivi mkuu, waliotegemea kuwa ni kichaa walijua wataweza ku mcontrol kirahisi kumbe mambo yakawa ndivyo sivyo ikala kwao.
 
kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
 
Kuna wakati alikuwa akiongea unaona kabisa huyu sio mtu mwenye akili za kawaida kwa level yake.

Niliwahi kuuliza kama anatumia kilevi nikaambiwa hatumii basi niliona kama alivyosema Mwenyekiti πŸ˜ƒ

Only mkewe ataconfirm na ninaamini ameona mengi atakuja kutueleza tu maana ile kichwa sio sawa kabisa
 
Mfuate huko jehanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…