Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Nchi unaiuzaje kwa mfano?. Tulikuwa na TICTS, mbona nchi yetu bado tunayo?

Pale Airport kuna Swiss port na NAS, hawa DP World hawatakuwa wa kwanza kufanya biashara hapa nchini.

Uoga unatusumbua miaka yote.
Mimi nilieuona mkataba wa TICTS nakuhakikishia haukuwa kama huu
 
Pascal ni miongoni mwa Watu muhimu hapa JF
Sana ila apunguze kujipendekeza kwa watawala.
Asante sana Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , asante sana.
Mkuu Walola, WALOLA VUNZYA
Mtu anayejipendekeza kwa watawala, angeweza kubandika bandiko kama hili?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…