Japo haisaidii: Kama kiongozi hataki kukosolewa akiwa hai, Basi akifa ruksa kukosolewa

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,834
Reaction score
5,310
Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe.
Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM:

1. Haki
2. Uhuru
3. Ajira zenye usawa
4. Maendeleo ya watu
5. Kodi za ajabuajabu tena za uongo.

Akiwa hai, ukisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu yatakukuta ya kukukuta.

Kwa hiyo sasa ni ruksa watu wakisema mabaya yake,japo kama kawaida ya binadamu alikuwa na mazuri yake km free education for primary and lower secondary education, infrastructure,etc.
 
Ajira zimeongezeka kupitia wamchinga, boda boda na mama ntilie mkuu. Na hawakusumbuliwa kabisa kama awamu ya nne.
 
Kwakweli kwa haya yanatofanyika HESLB sio haki hata kidogo
Nadhani marehemu kachangia sana kusababisha haya madeni yasoisha ya bodi.. Mkumbusheni Madam president kutupunguzia huu Mzigo maana take home inabaki kiduchu sana.
 
Watumishi wa umma walio ajiriwa mwaka 2014 wanapata mshahara sawa na wale walio ajiriwa 2021! Mwaka wa sita hakuna kupandishwa madaraja!

Hao wamachinga, bodaboda, mama ntilie na mataga! waendelee tu kuomboleza. Hakuna namna.
 
Nadhani marehemu kachangia sana kusababisha haya madeni yasoisha ya bodi.. Mkumbusheni Madam president kutupunguzia huu Mzigo maana take home inabaki kiduchu sana.
Hapo ni kuliuza tu hilo deni ndio option iliobaki, make ikifika july linaongezeka, yani ni deni ambalo linaongezeka badala ya kupungua.

Halafu kwenye salary slip linasomeka vingine ukienda bodi linasomeka vingine...wanyonge tumenyooshwa.
 
Inatakiwa ianzishwe kampeni ya wazi kabisa kupinga hili suala, maana yake ni kwamba mpaka unastaafu watakua wanakata tu!
 
Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe.
Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM:

1.Haki
2.Uhuru
3.Ajira zenye usawa
4.Maendeleo ya watu
5.Kodi za ajabuajabu tena za uongo.

Akiwa hai,ulisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu yatakukuta ya kukukuta.

Kwa hiyo sasa ni ruksa watu wakisema mabaya yake,japo kama kawaida ya binadamu alikuwa na mazuri yake km free education for primary and lower secondary education, infrastructure,etc.
Hiyo ni side B, mazuri yake je?
 
Back
Top Bottom