Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Kikokotooo cha bodi ya mikopo kimekua kikali kuliko kile cha wastaafu.Kuna haya madeni ya bodi ya mkopo, kwakweli sijui hata yanahesabiwaje....yani faini inazidi deni..
Kwakweli kwa haya yanatofanyika HESLB sio haki hata kidogoKikokotooo cha bodi ya mikopo kimekua kikali kuliko kile cha wastaafu.
Acha porojo wewe. Vaa barakoa.Ajira zimeongezeka kupitia wamchinga, boda boda na mama ntilie mkuu. Na hawakusumbuliwa kabisa kama awamu ya nne.
Nadhani marehemu kachangia sana kusababisha haya madeni yasoisha ya bodi.. Mkumbusheni Madam president kutupunguzia huu Mzigo maana take home inabaki kiduchu sana.Kwakweli kwa haya yanatofanyika HESLB sio haki hata kidogo
Hapo ni kuliuza tu hilo deni ndio option iliobaki, make ikifika july linaongezeka, yani ni deni ambalo linaongezeka badala ya kupungua.Nadhani marehemu kachangia sana kusababisha haya madeni yasoisha ya bodi.. Mkumbusheni Madam president kutupunguzia huu Mzigo maana take home inabaki kiduchu sana.
Inatakiwa ianzishwe kampeni ya wazi kabisa kupinga hili suala, maana yake ni kwamba mpaka unastaafu watakua wanakata tu!Hapo ni kuliuza tu hilo deni ndio option iliobaki, make ikifika july linaongezeka, yani ni deni ambalo linaongezeka badala ya kupungua.
Halafu kwenye salary slip linasomeka vingine ukienda bodi linasomeka vingine...wanyonge tumenyooshwa.
Hiyo ni side B, mazuri yake je?Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe.
Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM:
1.Haki
2.Uhuru
3.Ajira zenye usawa
4.Maendeleo ya watu
5.Kodi za ajabuajabu tena za uongo.
Akiwa hai,ulisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu yatakukuta ya kukukuta.
Kwa hiyo sasa ni ruksa watu wakisema mabaya yake,japo kama kawaida ya binadamu alikuwa na mazuri yake km free education for primary and lower secondary education, infrastructure,etc.
Moja ya wizi mkubwa awamu ya tanoKwakweli kwa haya yanatofanyika HESLB sio haki hata kidogo