Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Dah! Inafikirisha sana. Lawama ziende kwa aliyeanzisha hili jambo la kutangungulizana mbele ya haki. Na ile damu ya yule aliyetangulia inadai kisasi
 
Tusipangiane maisha , mbona mkiendesha v8 hatuwapangii, kaa kwa kutulia , utapeli wangu au usanii wangu wakuhusu nini? shida mnajitia ujuaji sana.

Sie sio wale wakuomba michango , hatuna makanisa ,sio mitume wala manabii ila Mungu katuchagua kati ya wengi na kutufanya chombo muhim katika ufalme wake .

Sasa wewe unapata nguvu wapi za kuniita tapeli kwa lipi nimekutapeli. Ushindwe kuona matapeli wanaowauzia mafuta na chunvi na kutoa sadaka kwao uje nivamia mie , wambieni hao wawambie Mungu anasemaje juu ya Taifa hili kama kweli wanae alie hai .

Katubuni na kuomba toba kila mmoja kwa imani yake , vinginevyo kiama juu yenu chaja ,asema Bwana na ilishakua
 
Ikawe hivyo.
 
Wakati mwingine watu huzidiwa na wapambe! Maana hawatataka kuwaona wanoongea ukweli na uhalisia!
 
Haya ni mazungumzo ya makabwela wasio kazi, aka, malofa. Tunamjua aliyeikamata nchi hii, wabaya na wema.
 
Swain! Ni (Shakum si matusi) Khanithi tu ndiye anayefikiria kumdhuru mwanamke! Acha amalize kwa amani.
 
Dah! Inafikirisha sana. Lawama ziende kwa aliyeanzisha hili jambo la kutangungulizana mbele ya haki. Na ile damu ya yule aliyetangulia inadai kisasi
Huyu aliyetangulizwa huko... Ndiye aliyeanzisha makundi ya ajabu ajabu nchini kwetu..ya kufuatiliana nani ananizungumza vibaya(track) ,
Nani anamiliki hiki...nani anakiasi Gani benki..nani anafanya hivi tugawane..

Sasa yeye alianzisha mtindo wa kutanguliza wenzake huko ..kwa kuwapa shikiniko za damu kwa kuwarundikia makesi makubwa..mtu mmoja anapewa mastaka 100 (world record in Tz)...Kisha anasema nimekamata mafisadi ..kumbe anagawana nao Salio kinguvu

Na kama damu yake inadai kisasi ..na yeye aliowatanguliza kabla wanadai
 
Kileleni kutamu, dada anatamani kushikilia usukani milele, ila ni vyema akawasikiliza wataalam wa kuona visivyoonekana maana wakaka wanaoimba nyimbo za mapambio hawataki kabisa dada kushika usukani.
 
Kuna mtu wa kuishi milele Dunia hii kweli Hadi uache kufanya unachoamini is right usubirie tamthilis kutoka Kwa watu?

Hakuna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…