Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Vijana wa Chikwete wapo, yupo salama.Mmmmh!
Ila ukiwa Kule juu kileleni sio rahisi kuamini kwamba chini yako wanakutegea mitego.
Kiburi ndio chanzo kikuu cha anguko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Chikwete wapo, yupo salama.Mmmmh!
Ila ukiwa Kule juu kileleni sio rahisi kuamini kwamba chini yako wanakutegea mitego.
Kiburi ndio chanzo kikuu cha anguko
Huyu Ajuza anaingia katika rekodi ya marais wasiopendwa katika taifa hili tulishuhudia baada ya kifo cha kaka yake watu 45 walikufa kwa kukanyagana pale uwanja wa taifa wakiaga mwili wake na hawakuishia hapo wakavunja uzio wa uwanja wa ndege kuikimbilia ndege iliyobeba mwili wake.. nchi nzima ilizizima..na aliombolezwa nje ya mipaka ya Tanzania ..Alijenga ushawishi Dunia nzima...Huyo dada si muovukama yulee kakako kwa nimwonavyo hata akitwaliwa anaenda pazuri mara milioni ya hii nchi Duni!
Ma yalaa vipi vp huagi Tena mwakahuu ili ukagombee kupitia chama cha huyu unayemchulia kifo?
Nje ya mada je Donald Trump atamaliza miaka 4 salama?Sikuwa fan mkubwa wa anko mwendazake lakini nafsini nilikuwa najua anapigana vita nzito sana ya nje na ya ndani. Na approach aliyoitumia ya kuwa open book naamini alikuwa anajua kitu anachofanya ni suala la kufa ama kupona..
Kwa hiyo alijitahidi kuzuia kitu alichokiona kikimkaribia ila si kwamba hakujua. Alijua
Binafsi nimemchoka sana dada, kwanza hana mvuto, tena amekua na tamaa ya kuendelea kulamba asali. Bora YEYE afanye ajualoWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Paskali
Saa nyingine huingizwa Chaka Pascal Mayalla alisema "Mpango ndiyo mpango mzima"Kuna mwaka nadhani way back uliandika Jpm ndo Rais ajaye..tukakunyali sana ..kupitia mabandiko yako mimi ni nani nikatae!..wafanye haraka kwa kweli
Hiyo Karma ipo Tanzania tu?Pole kwa kutwaliwa kwa kaka yako, ila kaka yako mbona naye alilazimisha kuwaitia wenzie Israel awatwae?? Hiyo ni Karma
Na dada yako naye vivyo hivyo, km anahusika na kuitia wenzie Israel awatwae anaowachukia basi Karma itafanya kazi yake..!!
Umeona nini?Mleta mada kaja na ushauri mzuri, ila sasa je ushauri wake unaweza zingatiwa, Binafsi kiroho ninayo mengi tu Mungu wangu amenionesha wala sio leo , ila hata nikiyasema nani wakuyasikiliza , hakuna cha kupanga hapa
Dada yako ana upendeleo sana, sijui hii nchi ina maafisa usalama wa nini?Hii stori inanikumbusha ile ya mfalme Ahabu, kikao kikaaliwa juu mbinguni Bwana akasema " Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke(akauwawe)? ". Ikumbukwe kwamba mfalme ahabu alifanya machukizo mengi sana mbele ya taifa la Israel yeye pamoja na mke wake Yezebeli.
Akajitokeza pepo mmoja akasema akasimama mbele za Bwana , akasema, Mimi nitamdanganya. Na kweli Ahabu akadanganywa kama ng'ombe apelekwae machinjioni.
Ewe dada uliyekaa hicho kiti hapo juu kabisa Tanzagiza maneno haya sio mageni hapa mjini. BEWARE
Ana majumba huko nje ya nchi kwa wajomba kizazi chake akina Abdu... na Wan.... Wanaonjaje joto la jiwe?Mnawaza wenzenu wafe binadamu nyie.
Kuwakababi kwa maneno hamuwezi ila mnawaza wafe.
Mimi Naomba abaki duniani,ili yeye na kizazazi chake waonje joto ya jiwe
Yule (YEYE) mzee wa MsongeAlietwaliwa -Alieuwawa,kufaliki au Kufa
YEYE Mwenyewe pekee - Mwenyezimungu au Mungu
Yule kaka yangu - huyu ni yule Mwendazake(apunzike kwa amani).
Huyu Dada - Chief Angai
Yule YEYE - Basi na Mkome msitake kilakitu mtafuniwe😂
Kikwete na Team yake wakiamua wao ni yes nani wa kupiga ktk wanadamu?Mkuu, kwa nini unaamini kwamba atakuwa Rais 2025? Una maana hiyo kura yako moja itatosha kumuingiza Ikulu tena? 😲
Option ya kwanza zuriOption ya kwanza sote kwa pamoja tuikatae na kuizuia isitokee TENA katika UUNGU WA UMOJA WETU kwa sababu sisi ni NGUVU, NISHATI, UWEZO na MAMLAKA kamili bali option ya pili ifanyike kwa UPENDO, tena UPENDO mkamilifu usio na mawaa wala hila hata doa lolote. UPENDO WENYE NURU utashinda yote 2025.
Ninachoamini mimi kwa huyu mtu wao si kweli ni propaganda kama propaganda nyingine ili kuwazumbaisha watu wa upande wa pili.Hii kitu ipo muda tu sema labda kwa sasa ndo inaenda public........kama ungekua unashinda na wale jamaa wa muda wote makanisani hizi habari zisingekua mpya
1. SokoineKikubwa waliolianzisha wawe waungwana bila hivyo ndo utageuka kua mchezo endelevu
Huenda ni 🎤 🎤 🎤 ya jumba jeupe ambalo husemwaNdio maana yallaBoy hapewi uteuzi kwa sababu ya mavoisi from wizini
Mambie dada kaka sasa hivi ni moto hatamuze na hoja zake.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Paskali
Nani kamchulia!? Au familia yenu huko
Na huko Kizimkazi ana Bonge la Hotel, (Kwanza Hotel)Abdul mwanae yuko wapi ajaribu kumponya mamaye..?
Na njia ya kumponya ni moja tu. Ni kumwambia kumshauri:
"...Mama yatosha, waachie ardhi na nchi yao. Wewe twende nyumbani Kizimkazi ukampumzike. Na kwa namna tulivyolimbikiza, utaishi hata miaka 30+ mbele kama babu Ally Hassan Mwinyi alivyojaliwa kuishi miaka 90+.."
Lakini sijui hata kama watoto wake wana HEKIMA hii. Walishanogewa na kulewa madaraka ya mama yao. Sasa ni mwendo wa inzi kufikia kwenye kidonda tu...!