Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Dada yako ana upendeleo sana, sijui hii nchi ina maafisa usalama wa nini?
Mbona hawasemi anavyofanya Double standard kupeleka maendeleo Zanzibar?
Nendeni Zanzibar mkaone anajenga hadi barabara za vichochoroni mijini hadi mashambani (vijijini)
Chochoro zote ni kiwango cha lami,
Hospitali nyingi anavunja na kujenga upya za kifahari,
Ameshaona kupitia kukopa kukopa deni la taifa wanapata asilimia kubwa ya mgao Wazanzibar,
Mlipaji wa deni ni Watanganyika wenyewe, kodi zetu zinaenda kujenga Zanzibar.

Halafu fala fulani wa kitanganyika ana fanya uhuni fulani wa kuondoka na mpira kwapani pale Dodoma analazimisha mitano tena, huyu mzee mbinafsi sana, mlafi sana, mchoyo sana, Fisadi papa, baba wa mafisadi Tanzania 😡
Dada yako ana upendeleo sana, sijui hii nchi ina maafisa usalama wa nini?
Mbona hawasemi anavyofanya Double standard kupeleka maendeleo Zanzibar?
Nendeni Zanzibar mkaone anajenga hadi barabara za vichochoroni mijini hadi mashambani (vijijini)
Chochoro zote ni kiwango cha lami,
Hospitali nyingi anavunja na kujenga upya za kifahari,
Ameshaona kupitia kukopa kukopa deni la taifa wanapata asilimia kubwa ya mgao Wazanzibar,
Mlipaji wa deni ni Watanganyika wenyewe, kodi zetu zinaenda kujenga Zanzibar.

Halafu fala fulani wa kitanganyika ana fanya uhuni fulani wa kuondoka na mpira kwapani pale Dodoma analazimisha mitano tena, huyu mzee mbinafsi sana, mlafi sana, mchoyo sana, Fisadi papa, baba wa mafisadi Tanzania 😡😡😡😡
Waswahili walituambia ngoma ikivuma sana imekaribia kupasuka, let's watch and see kwa maana mwisho wa ubaya aibu.
 
Nyie wachawi habari zenu,Mnajifanya watabiri kumbe Wanga tu hamna lolote .Lengo lenu kuwatia watu jakamoyo lakini hamfanikiwi kamwe.Mnajifanya kuongea kwa mafumbo ili muonekana mna jambo la maana lakini ni namna ya kujifurahisha tu.
Povu la omo
 
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
uliona hiyo para?
mngekuwa mnasema na nini kifanyike kuziia hilo mngekuwa watu wa maana sana Pascal Mayalla
P
 
Back
Top Bottom