Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Huyo dada si muovukama yulee kakako kwa nimwonavyo hata akitwaliwa anaenda pazuri mara milioni ya hii nchi Duni!
Ma yalaa vipi vp huagi Tena mwakahuu ili ukagombee kupitia chama cha huyu unayemchulia kifo?
Huyu Ajuza anaingia katika rekodi ya marais wasiopendwa katika taifa hili tulishuhudia baada ya kifo cha kaka yake watu 45 walikufa kwa kukanyagana pale uwanja wa taifa wakiaga mwili wake na hawakuishia hapo wakavunja uzio wa uwanja wa ndege kuikimbilia ndege iliyobeba mwili wake.. nchi nzima ilizizima..na aliombolezwa nje ya mipaka ya Tanzania ..Alijenga ushawishi Dunia nzima...
 
Nje ya mada je Donald Trump atamaliza miaka 4 salama?
Je Ruto atapata 5 tena?
 
Binafsi nimemchoka sana dada, kwanza hana mvuto, tena amekua na tamaa ya kuendelea kulamba asali. Bora YEYE afanye ajualo
 
Kuna mwaka nadhani way back uliandika Jpm ndo Rais ajaye..tukakunyali sana ..kupitia mabandiko yako mimi ni nani nikatae!..wafanye haraka kwa kweli
Saa nyingine huingizwa Chaka Pascal Mayalla alisema "Mpango ndiyo mpango mzima"
Sasa Mpango kaomba kupumzika,
Alisema "2025 Hussein Mwinyi atagombea Tanganyika Urais"

sasa anagombea kule kule kisiwani.
 
Pole kwa kutwaliwa kwa kaka yako, ila kaka yako mbona naye alilazimisha kuwaitia wenzie Israel awatwae?? Hiyo ni Karma

Na dada yako naye vivyo hivyo, km anahusika na kuitia wenzie Israel awatwae anaowachukia basi Karma itafanya kazi yake..!!
Hiyo Karma ipo Tanzania tu?
GEORGE BUSH, kaua watu wengi sana kwenye utawala wake, Putin, Nyetanyahu, Paul Kagame wameua watu wengi sana na wako hai wanazidi kuwa vizee baadhi yao Karma gani hiyo yenye ubaguzi?
 
KUNA MTU ATAISHI MILELE DUNIA HII??

KUNA BINADAMU ALIYEISHUHUDIA VITA YA KWANZA YA DUNIA IKIPIGANWA YUPO HADI HADI LEO?

KUNA BINADAMU YEYOTE ALIYE HAI AMBAYE ALISHUHUDIA UGAWAJI WA BARA LA AFRIKA?

KILA MTU ATAKUFA, AACHIE MADARAKA AU AENDELEE NAYO.

ALIYEANDIKA HILI ANDIKO NINA UHAKIKA NA KWA AFYA YAKE 90% YA KUTOFIKA HATA OCTOBER.
 
Dada yako ana upendeleo sana, sijui hii nchi ina maafisa usalama wa nini?
Mbona hawasemi anavyofanya Double standard kupeleka maendeleo Zanzibar?
Nendeni Zanzibar mkaone anajenga hadi barabara za vichochoroni mijini hadi mashambani (vijijini)
Chochoro zote ni kiwango cha lami,
Hospitali nyingi anavunja na kujenga upya za kifahari,
Ameshaona kupitia kukopa kukopa deni la taifa wanapata asilimia kubwa ya mgao Wazanzibar,
Mlipaji wa deni ni Watanganyika wenyewe, kodi zetu zinaenda kujenga Zanzibar.

Halafu fala fulani wa kitanganyika ana fanya uhuni fulani wa kuondoka na mpira kwapani pale Dodoma analazimisha mitano tena, huyu mzee mbinafsi sana, mlafi sana, mchoyo sana, Fisadi papa, baba wa mafisadi Tanzania 😡😡😡😡
 
Mnawaza wenzenu wafe binadamu nyie.
Kuwakababi kwa maneno hamuwezi ila mnawaza wafe.
Mimi Naomba abaki duniani,ili yeye na kizazazi chake waonje joto ya jiwe
Ana majumba huko nje ya nchi kwa wajomba kizazi chake akina Abdu... na Wan.... Wanaonjaje joto la jiwe?
 
Option ya kwanza zuri
 
Hii kitu ipo muda tu sema labda kwa sasa ndo inaenda public........kama ungekua unashinda na wale jamaa wa muda wote makanisani hizi habari zisingekua mpya
Ninachoamini mimi kwa huyu mtu wao si kweli ni propaganda kama propaganda nyingine ili kuwazumbaisha watu wa upande wa pili.
 
Kikubwa waliolianzisha wawe waungwana bila hivyo ndo utageuka kua mchezo endelevu
1. Sokoine
2. Kolimba.
3. Mohammed Ally Juma.
4. JK Senior.
5. John Komba.
6. BWM
7. JPM
8. Mahiga.
9. Patrick Mfungale.
10. Kijazi.
11. Mwapachu.
12. Amina Chifupa.
13. Mohammed Seif Khatibu
14. Seif Sharif Hamad
15. William Mgimwa.
16. John Komba.
17. Edo.
18. Ole Mushi............
 
Mambie dada kaka sasa hivi ni moto hatamuze na hoja zake.
 
Nani kamchulia!? Au familia yenu huko

Na huko Kizimkazi ana Bonge la Hotel, (Kwanza Hotel)
Bado mamiradi yasiyojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…