Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Nani amwambie mfalme yupo uchi ilhali wapambe wanamwambia nguo zimempendeza?
🤣😁 Umenikumbusha kitabu cha kaptula la Marx cha Kezilahabi ambapo rais kapera anaambiwa na wapambe wake kuwa kaptula la Marx limekukaa vyema lakini uhalisia ni kwamba kaptula lile lilikuwa limemvaa yeye.

Wapambe kumanyoko Sana.
 
Mzee Pascal Mayalla umesahau kilichofuata baada ya lile swali lako kwa kaka Yako pale magogoni?.... angalia yasifuata ya sehemu ya pili (part II)
 
Mmmh !
 
Hapana Jpm aliwahishwa na hao hao ccm wenzake aise
 
Pole kwa kutwaliwa kwa kaka yako, ila kaka yako mbona naye alilazimisha kuwaitia wenzie Israel awatwae?? Hiyo ni Karma

Na dada yako naye vivyo hivyo, km anahusika na kuitia wenzie Israel awatwae anaowachukia basi Karma itafanya kazi yake..!!
 
😳 !
 
Tatizo ni makubaliano ya baadhi ya watu yanamponza, halafu yeye ni mtu kati hivyo anaona aibu kusaliti huo upande ingawa dhamira yake kabisa anajua hatakiwi ila anakomaa. Sasa sijui hiyo pir ni kabla au baada. Kibaya sana yeye alidharau na kudhihaki kifo cha kaka yake aliyekuwa anampenda ambaye aligombanishwa naye, sasa sijui pia wale vijana wa tope walimaanisha kumtusi mwenyekiti kuhumhusisha na kufukuliwa mitaro hahaha ila hakika chama chetu kina kazi ngumu kidogo, wapanga strategies wana mapungufu
 
Uchaguzi wa mwisho ccm kushinda kihalali ni 2005, kwa sasa na hasa chini ya dhalimu magu, chaguzi zetu zimekuwa za kishenzi kama ushenzi mwingine.
Utakuwa kichaa ukisema Lisu alishinda 2020 labda lowasa 2015 anaweza kuwa alishinda au alikaribia.

Kama wananchi wangekuwa wameichoka CCM kiasi hicho waeandama mpaka kufa kama msumbiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…