balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Yup Steve Mengele aka Steve NyerereNani amwambie mfalme yupo uchi ilhali wapambe wanamwambia nguo zimempendeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yup Steve Mengele aka Steve NyerereNani amwambie mfalme yupo uchi ilhali wapambe wanamwambia nguo zimempendeza?
Kabisa yameifanya nchi kua ni yao na mama zao😏Huu mchezo mlioanzisha ccm hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
"The voice from within" kwangu inaniambia sanaa inaanzia hapa ili kuleta usingizi.Huyu analindwa na majini ondoa shaka na kila weekend lazima achinje ngamia
🤣😁 Umenikumbusha kitabu cha kaptula la Marx cha Kezilahabi ambapo rais kapera anaambiwa na wapambe wake kuwa kaptula la Marx limekukaa vyema lakini uhalisia ni kwamba kaptula lile lilikuwa limemvaa yeye.Nani amwambie mfalme yupo uchi ilhali wapambe wanamwambia nguo zimempendeza?
Mzee Pascal Mayalla umesahau kilichofuata baada ya lile swali lako kwa kaka Yako pale magogoni?.... angalia yasifuata ya sehemu ya pili (part II)Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, ndio itakuwa....
Paskali
Mmmh !Wanabodi,

Duh 🙄 !Mzee Pascal Mayalla umesahau kilichofuata baada ya lile swali lako kwa kaka Yako pale magogoni?.... angalia yasifuata ya sehemu ya pili (part II)
Waswahili wana msemo wao .... What goes around comes around.
Kumbe 😳 !RC Chalamila: Katiba ifanyiwe marekebisho Watu wasirogane
Hapana Jpm aliwahishwa na hao hao ccm wenzake aiseDamu za watu hazitawaacha salama.
Ila mie naamini kifo cha mtu ni siku yake ya kufa imefika, mengine ni sababu tu, kama siku yake ya kufa bado atajikuta anasurvive katika hali ya kustajaabisha.
Cheki yule jamaa sativa alivyopona, ila ingekuwa siku yake imefika ingekuwa kama wengine.
Sio kwamba anko magu alipenda kuwa mwendazake hapana, ni muda wake ulitimia, na huyu dada yako muda wake ukiwadia hata alindwe na nini nae atakuwa mwendazake.
Duh 🙄 !Leo asubuhi nimeota ndoto, kuna member wenzetu wanatekwa na wasiojulikana.
Nafungua Jamiiforums. Uzi wa kwanza kuuona ndio huu.
😳 !Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Tatizo ni makubaliano ya baadhi ya watu yanamponza, halafu yeye ni mtu kati hivyo anaona aibu kusaliti huo upande ingawa dhamira yake kabisa anajua hatakiwi ila anakomaa. Sasa sijui hiyo pir ni kabla au baada. Kibaya sana yeye alidharau na kudhihaki kifo cha kaka yake aliyekuwa anampenda ambaye aligombanishwa naye, sasa sijui pia wale vijana wa tope walimaanisha kumtusi mwenyekiti kuhumhusisha na kufukuliwa mitaro hahaha ila hakika chama chetu kina kazi ngumu kidogo, wapanga strategies wana mapungufuWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Duh 🙄 !Kabisa yameifanya nchi kua ni yao na mama zao😏
Utakuwa kichaa ukisema Lisu alishinda 2020 labda lowasa 2015 anaweza kuwa alishinda au alikaribia.Uchaguzi wa mwisho ccm kushinda kihalali ni 2005, kwa sasa na hasa chini ya dhalimu magu, chaguzi zetu zimekuwa za kishenzi kama ushenzi mwingine.