Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

acheni hayo. wengine wanasema kazi ya Mungu haina makosa.
 
Sasa tutegemee nini kama anazungukwa na kuwasikiliza watu kama Steve "Nyerere", Shilole, ma bongo Flava nk?
Jana nimetoa machozi kumuona Rais wangu eti anasimamishwa kumpongeza Ally Kiba na Diamond wakiimba.
Advisors wamemfanya kiongozi wetu mkuu to go that much low kweli? Maana hao ndio wanasimamia kila afanyacho.
Tutaanza kuamini utabiri wa Wanajimu bure! Kama ule alioutoa shehe Yahaya kabla hajafa.
 

Attachments

  • IMG-20250115-WA0005.jpg
    114.2 KB · Views: 4
Hii stori inanikumbusha ile ya mfalme Ahabu, kikao kikaaliwa juu mbinguni Bwana akasema " Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke(akauwawe)? ". Ikumbukwe kwamba mfalme ahabu alifanya machukizo mengi sana mbele ya taifa la Israel yeye pamoja na mke wake Yezebeli.

Akajitokeza pepo mmoja akasema akasimama mbele za Bwana , akasema, Mimi nitamdanganya. Na kweli Ahabu akadanganywa kama ng'ombe apelekwae machinjioni.

Ewe dada uliyekaa hicho kiti hapo juu kabisa Tanzagiza maneno haya sio mageni hapa mjini. BEWARE
 
Mmmh !
 
Huyo YEYE anaupendo sanaa na Familia yetu kwa kweli.
 
Hasa pale manabii wako unawalisha mwenyewe na kuwapa posho. Watakupamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…