The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
nini kitafanyika tokana na hasira na maapizo ninayoona humu
Binafsi nina machache sana kuhusu mada yako hii.View attachment 3487277
Niseme kwanza. Mie si shabiki wa Humphrey Polepole ambaye ni mwanachama na kiongozi wa CCM. Sipendi CCM. Hivyo, CCM wakitekana na kuuana, huwa hainishughulishi. Kinachonishughulisha ni kelele na maombi nionayo hapa jf juu ya kukamata/kutekwa na sasa kuawa au kutoweka kwa Polepole. Je ikitokea ikathibitishwa kuwa Polepole is no more, nini kitafanyika tokana na hasira na maapizo ninayoona humu au itakuwa business as usual kama walipouawa akina Edward Sokoine, Horace Kolimba, Ben Saanane. Azory Gwanda na wengine?
ConfirmedView attachment 3487277

Confirmed
He was kidnapped and then died, the only thing which we do not know is when he died and under what circumstances, probably he succumbed to heavy injuries
Swali la kipumbavu sana kutoka kwa watanzailnia wapumbavu mno. Inashangaza sana
Mie mwenzenu mnaniacha hoi, nyie watu kwanini hamtaki minoti imwage kitaani?
Au mnataka muwe mnashika nyie tyuuh mafogo na watoto wenu watuoneshe mido finga?
Nasemaje BOT mwageni Mihela hiyo mtaani haraka sana, na sisi makapuku tushike maburungutu ya minoti.
Huu uzi mafogo na matajiri ndo hawataki kusikia, sisi pangu pakavu mbna fresh kwanza wanachelewa kumwaga hiyo minoti, au mnatudolishia? Fanyeni kweli mwageni mahela hayo, nchi yetu wotee hii jamanii.
Yaan wakimwagaa mie ntaona rahaa, woiiiiih.