cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Je hiyo laki tano upatikanaje wake si utakua lelelee, maana minoti mtaani itakua km yotee.Breakfast kwenye mgahawa utainunua kwa laki tano!
Au niajee? Mnieleweshee vizuri, sielewii bado.
Je hiyo laki tano upatikanaje wake si utakua lelelee, maana minoti mtaani itakua km yotee.Breakfast kwenye mgahawa utainunua kwa laki tano!
Mnanichanganyaa, nitakua na hela nyingi, afu kila nitakachotaka nanunua? Sasa thamani ipi tena?utakuwa na hela nyingi ila hazina thamani
Hizo kampuni zinaprint real money na sio fake, Sasa watu wanaamini ni pesa fake ndizo zinapelekwa huko BOT.Nadhani the way mange ame present hii ishu wabongo wengi wameelewa tofauti kabisa
Kuna kampuni za ku print notes ambazo zipo nje (request kutoka bot ikiwafikia) wanafanya yao then hizo notes zinasafirishwa kuja tz
Wabongo wengi hawasomi haya mambo despite ya kuwa na smartphone
Ndo mnazidi kunivuruga kabisa, sasa mkate unauzwa million, afu mie nina mabilion hapo shida iko wapii?Pesa itapoteza thamani, ikipoteza thamani uchumi unaanguka. Zimbabwe waliwahi kupitia hili, mkate dukani ukiuzwa million hata uwe na magunia mangapi ya pesa inakua kazi bure
Point 4. Pekee ndo ipo valid, hizo nyinginezo hazisimami muda wote. Ni utetezi tu wa kujaza manenoAsante kwa taarifa, sio kila data wanayomfidi kidada ni kweli, hivyo msiamini kila anachosema!, tumieni a common sense logic to determine the facts.
- Ni muda mrefu nchi yetu haijachapisha new bank notes, nq noti zinachakaa, sasa ni wakati muafaka kuchapisha noti mpya za saint ya Mwigulu.
- Siku zote note mpya zikiletwa, zinaletwa kwenye ma container na makontena clearing inafanyika usiku, kunakuwa na ulinzi wa ajabu toka bandarini mpaka BOT.
- Uchapishaji is a long process and takes time, sii kweli kuwa noti mpya zimechapishwa kwa ajili ya uchaguzi.
- Kwa vile mimi ni mwandishi, nitawawekee ni links za mchakato wa noti mpya, ni kiasi gani, ni kampuni gani zimechapisha, kutoka nchi gani, pia najua ni container ngapi, zinaletwa na meli gani na lini lakini vingine sisemi kiusalama na kiuzalendo
- P
Je hiyo elf 5 si itakuwepo km njugu, shida iko wapi hapo?soda ya 600 itauzwa 5000
means pesa itashuka thamani
Shida sio elf 20 ya soda, je hiyo elf 20 ipo?Mambo ya uchumi kidogo jau. Pesa zikiwa nyingi ni hatari sana. Utaanza kununua soda kwa Elfu 20 mfano.
utakuwa na hela nyingi ila hazina thamani, mfano una milioni moja inaishia kununua mkate mmoja tu inaisha!Mnanichanganyaa, nitakua na hela nyingi, afu kila nitakachotaka nanunua? Sasa thamani ipi tena?
Yaan mnifafanulie kwa undani nieleweeee.
Afu zingine si zinakua zipo za kununua vingine au? Sasa km hivyo shida iko wapii?utakuwa na hela nyingi ila hazina thamani, mfano una milioni moja inaishia kununua mkate mmoja tu inaisha!
Ngoja niwasiliane na rafiki yangu mwanasheria pale 'BOT' anipe habari hizi!Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye maandamano pekee wanaelekea kutumia matrilioni na matrilioni kuyazuia hayo maandamano.
My take:
Watanzania wenzangu tujiandae na mfumuko mkubwa wa bei. Na pengine baada ya taarifa hii, basi anguko la thamani ya pesa itakwenda kwa kasi mno maana wafanyabiashara na matajiri wengine wamejua hii taarifa sasa, wataanza kukimbizana kubadilisha pesa zao kwenda dola au pesa yoyote ya kigeni kujilinda.
Sasa naanza kuelewa kwanini Abdul wanabadilisha pesa zao kwenda kwenye dola, wanajua wanachofanya ili kulinda thamani ya mali zao na akiba zao juu ya anguko la thamani ya pesa ya Tanzania itakayotokea au imeanza kutokea, na pia waendelee kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya nje ya nchi baadae pale pesa yetu ya TZ itakapokuwa hoi bin taaban.
Tahadhari:
Mfumuko wa bei unakuja Tanzania, na kusababisha mahela ya kitanzania kujaa mtaani na kutokuwa na thaman. New Zimbabwe is loading…
🤣 Mimi na jamaa wenzangu wa tatu tunatosha sana
Yaani B.O.T ijitokeze imjibu huyo Mange kimambiBOT kimya mpaka muda huu kuhusu haya madai.
Mara ngazi serikali huwa inajibu yanayojiri mitandaoni?Yaani B.O.T ijitokeze imjibu huyo Mange kimambi
Una matatizo bro
Wewe ni kum@ na soon hutakuwa na hata pesa ya kuafford kununua bundle LA Vocha kuja kuwatetea humu hao mazwazwa wako humu ,taahira firigisi weeeYatasemwa mengi ila ukweli ni kuwa nchi haiwez kukombolewa kwa matusi na kwa kuwasapoti wale wanayoitukana serikali na viongozi wake huo ndio ukweli...